Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Habari WanaJF,
Eti nauliza ndevu kwa jinsia ya kike zinasababishwa na nini??
Na katika utoto wangu nshawahi kuambiwa kwamba wanawake wenye ndevu ni lazima wawe matajiri na ni brave.(sijui kama ni kweli)!!
Na kinachonishangaza zile ndevu huwa hazinyolewi hata kama ipo moja tu!!!!!!!
I'm just curious, mwenye maelezo zaidi anijuze!!!!
Nawasilisha
 
wa siku hizi hawana hata utajiri basi tu nahisi na hii mikorogo,
Chopeko umenikumbusha kitu jana asubuhi wakati naelekea kwa nyumba ya ibada nimekutana na mwanamke mwenzangu katika daladala anandevu km dume kidevu chote, na mbaya zaidi zile ndevu zinaonyesha huwa hazinyolewi
 
Sijui kwanii huwa hawazinyoi,ila nafikiri pengine wanaogopa wakizinyoa zitaota zaidi!!!!!!!!!
 
Hamna cha utajiri wala nini
mie ant yangu ni ana hizo ndefu na shida ndo anazo kila siku......

ni zile belief tu kuwa mvua ikunyesha jua Linawaka basi Simba anazaa
 
ila nawashauri wanyoe tu kwani wanatisha sana na hizo ndevu km huyu nillo muona jana teh teh hadi niliogopa,
 
Hiyo no dalili ya uchafu Anna lolote alafu pia wengi wao wanaota ndevu kwa kula sana Maya ya kuku was kisasa
 
Ndevu inaweza kuwa ni hormone imbalance. Ni tatizo dogo lakini yanatibika, hayo mambo ya utari ni itikadi za kijinga.

Saa nyingi hata madawa ya uzazi wa majira yanaleta hizo.
 
Mama+ndevu+7.9.2008.JPG

bearded-lady_2533542b.jpg

camping.jpg
 
Muulize ADVELLA SENSO msemaji wa jeshi la police (TZ) atakuambia nini siri ya kuwa na ndefu kwa mwanamke.
 
Kuna ndevu za mkorogo
sijui hizo nazo zina pesa?

loh pesa zitoke wap! Utamkuta mwanamke kajichubu nakwambia mwekundu kama moto wa peponi mwangalie kidevuni sasa! Khaa peusiiiii koz of mindevu sa akiwa ndani na mumewe cjui nani kidume loh!
 
Back
Top Bottom