Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is hilariousJamani Mungu ana-balance mambo.Kila siku wenzetu wanapigania gender equality.Haya sasa tuanze na ndevu.
Niko hapa Mbeya maeneo ya soweto kwenye moja ya grocery napata konyagi ameingia mama mmoja ana ndevu na mustachi halafu usoni sio mweupe bali ni mwekundu,Lakini nimeuliza nikaambiwa ni mkorogo....!
Labda baridi...teh tehNdio maana nikauliza, nini kinasababisha watu wa aina hii kuwa wengi? Na kwa nini mbeya ni wengi zaidi?
mimi napita tu ina maana hata yule msemaji wa polisi naye ni wa MBEYA?
konyagi na kiti mito tamu sana mkuu,nasikia hapo bei poa sana hapa mza kg 1=9000
Labda baridi...teh teh
Ndio maana nikauliza, nini
kinasababisha watu wa aina hii kuwa wengi? Na kwa nini mbeya ni wengi
zaidi?
Basi sijuiHakuna sehemu ambayo ina baridi kama mafinga, makambako na makete. Mbôna huko hawaoti ndevu kiasi hiki? Naweza kubaliana kiasi na wanaosema mkorogo maana wanawake wa mbeya wengi nyuso zao ni nyekundu ila shingoni kuna ukurutu. Lakini kuna wengine wana rangi asili na videvu vyao vimechafuka,why?
Duh! This is new equation, mbona wanaolima miwa kwa wingi hawawi pingili pingili kama miwa?
Eti ina maana wanolima korosho na wao wana roho za korosho?
Wanaolima korosho wana roho za korosho, bila shaka utakumbuka walivyotaka gesi iwe yao peke yao.
konyagi na kiti mito tamu sana mkuu,nasikia hapo bei poa sana hapa mza kg 1=9000
mimi napita tu ina maana hata yule msemaji wa polisi naye ni wa MBEYA?