Binafsi nampenda mwanamke/msichana mwenye ndevuBinafsi nina ndevu ila sipendi, kwetu tuna asili ya nywele nyingi! Vinyweleo vingi mpaka watu huwa wanatushangaa, nataman nijue dawa ya ndevu tu maana zinaninyima raha hapa nilinyoa juzi leo zishasimama tena
Mbona uwezo wako ni mdogo Sana uwezi kuwathilisha ujumbe kwenye Jamii mpaka uanze kutaja majin ya watu. Kwa nini usianze kuwataja watu wa nyumbani kwako.Unaimani kuwa kadhalilishwa? au ndio wewe kamanda mwenyewe? km ni wewe na hujapenda basi nisamehe ila km si wewe basi usilalamikie ukali wa pilipili wakati hujaila.
Mbona wengi tu hutajwa kwa mifano hai pia sidhani kama jambo baya kwa upande wangu hasa pale tunapotaka kutatua tatizo hivyo kupitia mifano hyo basi watu watafanikiwa zaidi ktk uelewa.
Nimekuelewa mkuu na nisamehe sana. pia shukuru sana Mungu aliyekujaalia uwezo mkubwa wa kuelimisha jamii ya watu kama sisi.Mbona uwezo wako ni mdogo Sana uwezi kuwathilisha ujumbe kwenye Jamii mpaka uanze kutaja majin ya watu. Kwa nini usianze kuwataja watu wa nyumbani kwako.
ukizinyoa ndio huwa zinazidi,so we tulia tu ndio ID yako na wewe ,ndio inakufanya uonekane ulivyoMustachi😀
uko wanapenda mkorogo balaa,m[paka men walio wengi wanajipiga carolyteHalafu wanawake wengi kutokea mkoa wa mbeya wana ndevu. Hua najiuliza ni kwanini
Mm sijawah kutumia ila znatokaaaMadhara ya matumizi ya contraceptive!
Mimi pia ninazo, ila nadhani zikinyolewa zinaongezeka.Mm sijawah kutumia ila znatokaaa
Basi itabidi zifanyike tafiti kubaini chanzo!Mm sijawah kutumia ila znatokaaa
HapanaUliwahi kumfatilia?
Inategemeana na mazingira uliyozaliwa na madini yaliyomo ktk maji mtumiayo yanayopatikana maeneo hayo hasa km watu wa kanda za kaskazini ndevu kwao ni nadra sana sijui wewe wa kanda ipi?Wakuu vipi kwa mwanaume asiye Na ndevu kabisa na umri 26 yrs
I think alikusudia kwa sababu siku ya kwanza kuniona nazo alishangaa sana.Vipi alitoka nazo kwa bahati mbaya tu au alikusudia?
Mkuu Mimi ni mzaliwa wa kigoma japo miaka 13 nimeishi kagera.Inategemeana na mazingira uliyozaliwa na madini yaliyomo ktk maji mtumiayo yanayopatikana maeneo hayo hasa km watu wa kanda za kaskazini ndevu kwao ni nadra sana sijui wewe wa kanda ipi?
Inachangia km nilivyosema hapo awali pia fanya utafiti kwa watu wanaokuzunguka jinsia me ili uone kuna ukweli upi ktk hilo, yaan kwa kifupi ndevu zipo sana katika ukanda wa pwani kuliko maeneo tofauti na hayoMkuu Mimi ni mzaliwa wa kigoma japo miaka 13 nimeishi kagera.
Pole sana ila wapo baadhi ya watu huzitumia hizo ndevu baada ya kuwanyoa wenzao kwa mambo ya kishirikinaI think alikusudia kwa sababu siku ya kwanza kuniona nazo alishangaa sana.
Hiyo siku aliyoninyofoa tulikuwa tumesimama tunaongea, ghafla akazitoa