Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

Binafsi nina ndevu ila sipendi, kwetu tuna asili ya nywele nyingi! Vinyweleo vingi mpaka watu huwa wanatushangaa, nataman nijue dawa ya ndevu tu maana zinaninyima raha hapa nilinyoa juzi leo zishasimama tena
Binafsi nampenda mwanamke/msichana mwenye ndevu
 
Unaimani kuwa kadhalilishwa? au ndio wewe kamanda mwenyewe? km ni wewe na hujapenda basi nisamehe ila km si wewe basi usilalamikie ukali wa pilipili wakati hujaila.
Mbona wengi tu hutajwa kwa mifano hai pia sidhani kama jambo baya kwa upande wangu hasa pale tunapotaka kutatua tatizo hivyo kupitia mifano hyo basi watu watafanikiwa zaidi ktk uelewa.
Mbona uwezo wako ni mdogo Sana uwezi kuwathilisha ujumbe kwenye Jamii mpaka uanze kutaja majin ya watu. Kwa nini usianze kuwataja watu wa nyumbani kwako.
 
Mbona uwezo wako ni mdogo Sana uwezi kuwathilisha ujumbe kwenye Jamii mpaka uanze kutaja majin ya watu. Kwa nini usianze kuwataja watu wa nyumbani kwako.
Nimekuelewa mkuu na nisamehe sana. pia shukuru sana Mungu aliyekujaalia uwezo mkubwa wa kuelimisha jamii ya watu kama sisi.
 
Mm sijawah kutumia ila znatokaaa
Mimi pia ninazo, ila nadhani zikinyolewa zinaongezeka.

nilikuwa nazo tatu tu sasa kuna siku mtu akanivuta bila kutarajia then akaondoka nazo.

Sasa zimeota tano.
 
Mimi pia ninazo, ila nadhani zikinyolewa zinaongezeka.

nilikuwa nazo tatu tu sasa kuna siku mtu akanivuta bila kutarajia then akaondoka nazo.

Sasa zimeota tano.
Uliwahi kumfatilia?
 
Wakuu vipi kwa mwanaume asiye Na ndevu kabisa na umri 26 yrs
Inategemeana na mazingira uliyozaliwa na madini yaliyomo ktk maji mtumiayo yanayopatikana maeneo hayo hasa km watu wa kanda za kaskazini ndevu kwao ni nadra sana sijui wewe wa kanda ipi?
 
Vipi alitoka nazo kwa bahati mbaya tu au alikusudia?
I think alikusudia kwa sababu siku ya kwanza kuniona nazo alishangaa sana.

Hiyo siku aliyoninyofoa tulikuwa tumesimama tunaongea, ghafla akazitoa
 
Inategemeana na mazingira uliyozaliwa na madini yaliyomo ktk maji mtumiayo yanayopatikana maeneo hayo hasa km watu wa kanda za kaskazini ndevu kwao ni nadra sana sijui wewe wa kanda ipi?
Mkuu Mimi ni mzaliwa wa kigoma japo miaka 13 nimeishi kagera.
 
Mkuu Mimi ni mzaliwa wa kigoma japo miaka 13 nimeishi kagera.
Inachangia km nilivyosema hapo awali pia fanya utafiti kwa watu wanaokuzunguka jinsia me ili uone kuna ukweli upi ktk hilo, yaan kwa kifupi ndevu zipo sana katika ukanda wa pwani kuliko maeneo tofauti na hayo
 
I think alikusudia kwa sababu siku ya kwanza kuniona nazo alishangaa sana.

Hiyo siku aliyoninyofoa tulikuwa tumesimama tunaongea, ghafla akazitoa
Pole sana ila wapo baadhi ya watu huzitumia hizo ndevu baada ya kuwanyoa wenzao kwa mambo ya kishirikina
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Wanawake wenye kuota ndevu ni wale wenye kutamani kuwa kama wanaume kwa sababu tofauti tofauti so automatically ndevu zinakuja.
 
Wanawake wenye kuota ndevu ni wale wenye kutamani kuwa kama wanaume kwa sababu tofauti tofauti so automatically ndevu zinakuja.
Si kweli hata kidogo, kuna watu mi nawajua wanapenda sana uanaume lakini hawana ndevu
 
Back
Top Bottom