Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Kwa jinsi madem wa kiafrica wanavyopenda kujichubua,au ku lighten skin zao,ma foundation,ma pouder etc wanayoweka kiila siku had tunawasahau ,sidhan kama et hawapend ngoz nyeupe,ishu ni kwamba madem wanaona watu weupe wanakuaga na folen za madem so huwakwepa sana ,ila sio kua hawapend.
 
Mmh! Mbona mastaa wanaume wa bongo wanazidi kujichubua wawe weupe?!
 
Hii mitazamo haina hualisia..
Labda hao mabint hawaju nn wanataka kwa wanaume..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…