matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
KWA siku mwanaume anaangalia maeneo nyeti ya mwanamke yaliyofunikwa nusu au robotatu zaidi ya mara mia.
Ofisini
Barabarani
Biasharani
Kanisani
Kwenye usafiri
Pia social media adds na reel/shorts automatic suggestions ( hata kama hufuatililii utawekewa kamoja) zinavyonza morali ya mwanaume KWA mwanamke faraghani.
Pia lazima ujue Ubongo wetu hauna uwezo wa kutofautisha kati ya video ya ngono na mtu au picha ya aliyekaa nusu uchi. Hizi tunaziita Mbadala wa pornografia ( porn alternatives). Matokeo yake yanafanana kisaikolojia.
Hii inapunguza morali KWA mwanaume kuona maumbile vutivu ya mwanamke wanapokuwa faragha maana ameshaonyeshwa KWA lazima siku nzima. Anakuwa haoni tofauti kati ya ugoko na kalio maana vyote Ubongo umevizoea KWA mkupuo.
Hii inapelekea uchovu wa hamasa ya tendo hivyo mtu kufeli mapema kuliko matarajio.
Ni hayo tu KWA Sasa
Mtumishi Matunduizi