Wanawake kuwa na mkono wa birika

Wanawake kuwa na mkono wa birika

Na kama yeye mwenyewe kakuzoesha hivyo utabadilikaje? Embu mie nifaidi zangu maana na nyie mkiona mwanamke anaprovide mnatafuta pengine pa kwenda kuzipunguza. nitasaidia pale nitakapoona nahitajika kwa sasa acha nifanye mambo madogomadogo ya home tu na kujiremba na kuvaa na kusave just incase
 
nafikiri malezi yetu yamechangia kwa kiwango kikubwa kwamba mwanaume ndie mtoaji/mlezi lakini sikubaliani na hii hoja wote sio watoaji wengine hata kama una kipato bado anaamini mchango wake una umuhimu.
 
Naona misredi ya wanawake imerudi tena. Dah!
Mbona tunashea sana jamani. Hadi tutangaze kwa watu kama nyie mnavyofanya. Kha!
 
Lakini jamani vitabu vya dini si ndio vinavyosema, kwamba mwanaume anafuta mimi nakula ila mimi ni msaidizi tu, so akikwama nitamsaidia
 
wanawake ndio walivyo mwenyewe nimeshudia ambao nafanya nao kazi salary sawa tukitoka tax nalipa mimi bia nalipa mimi nyama nalipa mimi juzi nikawapa live mkitaka mtoke na mimi mnachangia ngapi? au tuchange sawa kwa sawa, ...... hata aibu hawana

Jamani wewe!!!!!!!!!!!!!! Walikubali kuchangia pasu kwa pasu au ndo hivyo tena ilibidi mhairishe mtoko. Umefanya vizuri mwaya, maana wewe unatoka nao unawalisha na kuwalipia mausafiri halafu baadaye wanawaita wapenzi waooooooooo au mkiwa hapo hapo wapo busy wana-chat. Halafu wa hivi kwa wapenzi wao wanatoa, hila kwako kwa kuwa mnafanya wote kazi na kipato chako wanakifahamu hawataki kuchangia hata kama wewe kipato chako ni kidogo kuliko wao na cha wapenzi wao ni kikubwa kuliko chao, kwa wapenzi wanatoaga mwaya. Pole.
 
rafiki wangu kizungu namtoa out ananitoa out,namnunulia zawadi ananinunulia zawadi,jinsi tulivyoonza mapenzi yetu,hadi leo sijashika pesa yake na hajashika pesa yangu,,,,,tunaishi kwa amani na upendo.
 
Mwanzisha mada, huwezi kuhitimisha kuwa "wanawake wana mkono wa birika"! Ungesema baadhi ya wanawake!
Ubirika huo unakuja kwa sababu mbalimbali kama walivyosema wengine.Kama ulimrushia chambo ya " kumpa pesa na kumtatulia matatizo yake kifedha basi usirudi nyuma kamwe.Endelea na usilalamike!

alikua anafanyakazi wakati mm nasoma chuo,lakin mara ninunulie chupi,mara apple mara vitu vidogo vidogo...jibu lilikua eti wanawake wanaona unapotoa kitu kwao ni kama unamthamin na wanapenda.
Anyway sijui kama ni kweli au ulikua utapeli tu kama utapeli mwingine,tusubiri kina dada watatujuza vizuri

Ndio ujue siyo kweli

wanawake ndio walivyo mwenyewe nimeshudia ambao nafanya nao kazi salary sawa tukitoka tax nalipa mimi bia nalipa mimi nyama nalipa mimi juzi nikawapa live mkitaka mtoke na mimi mnachangia ngapi? au tuchange sawa kwa sawa, ...... hata aibu hawana

Hii inaonyesha ulianza wewe mwenyewe. Halafu hii inatokana na mfumo mzima wa malezi na mazoea.Tizama hata ukienda kwenye mgahawa na MZUNGU au Mhindi HATA KAMA WEWE MSWAHILI NDIO UNALIPA, utashangaa waiter akileta bill atampa mzungu au mhindi!Kwa hili la wanawake na wanaume, ukiwa nao baa basi utaletewa bill wewe na kwa kujipendekeza kwako unalipa!

Si wanawake wote wako hivo. wanawake wengi tu wanasaidia wanaume zao

Hii ndio hali halisi, Msaada uko kotekote, haijalishi ni mwanamke au mwanaume.

Na kama yeye mwenyewe kakuzoesha hivyo utabadilikaje? Embu mie nifaidi zangu maana na nyie mkiona mwanamke anaprovide mnatafuta pengine pa kwenda kuzipunguza. nitasaidia pale nitakapoona nahitajika kwa sasa acha nifanye mambo madogomadogo ya home tu na kujiremba na kuvaa na kusave just incase

Hili nalo neno! Hali hii inafanya wanawake wengi wasione umuhimu wa kusaidiana na waume zao.Ukijitoa sana basi anaweza akakosa kujithamini maana anahisi huoni thamani yake kwako kwa vile unajiweza kifedha na mambo mengine.Mwanaume atatafuta mwanamke mwingine tegemezi ili ajisikie ni mwanaume anayetegemewa! LIPI JEMA?

nafikiri malezi yetu yamechangia kwa kiwango kikubwa kwamba mwanaume ndie mtoaji/mlezi lakini sikubaliani na hii hoja wote sio watoaji wengine hata kama una kipato bado anaamini mchango wake una umuhimu.

Neno hilo!

rafiki wangu kizungu namtoa out ananitoa out,namnunulia zawadi ananinunulia zawadi,jinsi tulivyoonza mapenzi yetu,hadi leo sijashika pesa yake na hajashika pesa yangu,,,,,tunaishi kwa amani na upendo.

Siyo wazungu tu ndugu yangu.Hata siye waswahili mambo ya kwenda Dutch TUNAYAJUA NA KUYATEKELEZA SANA.Nyie mliokumbana na adha ya wanawake wenye mkono wa birika, jitathimini mtagundua makosa yenu!
BADILIKENI MTAONA KILA KITU KIKIENDA SAWA.
 
No matter how much I earn, to me the MAN is provider, so please don't try to change the nature. Unapata respect pale unapospend kwa wife wako au family hata kama kipato ni kidogo.

Ukiwa utakuwa wewe ni mwanaume na utakuwa ni mpokeaji subiri kuitwa mwanaume SURUALI.

Thanx MadameX, nadhani watu wanaanza kusahau asili yao, pengine labda si wote wafuasi wa dini kama yangu.
Kwa kifupi ninachoelewa mimi, mwanaume ni kichwa cha nyumba, atakula kwa jasho lake, ndiye anayetoa posa (tofauti na imani ya baadhi ya wahindi).
Ni wajibu wake kumhudumia mke wake/familia kwa waliooa. Kama mama ana kipato kikubwa, akiamua kuchangia, ni kwa mapenzi yake au makubaliano yao. Vinginevyo msishangae majina kama hayo kwenye red.
 
nadhani watu wanaanza kusahau asili yao, pengine labda si wote wafuasi wa dini kama yangu.
Kwa kifupi ninachoelewa mimi, mwanaume ni kichwa cha nyumba, atakula kwa jasho lake, ndiye anayetoa posa
Ni wajibu wake kumhudumia mke wake/familia kwa waliooa. Kama mama ana kipato kikubwa, akiamua kuchangia, ni kwa mapenzi yake au makubaliano yao. Vinginevyo msishangae majina kama hayo kwenye red.

Hatuishi kwenye zama za kale..sasa hivi maisha ni kusaidiana!
 
Hatuishi kwenye zama za kale..sasa hivi maisha ni kusaidiana!

Siongeli zama, naongelea maagizo ya Mungu. Mwanamke atazaa kwa uchungu, mwanaume atakula kwa jasho. Kumbuka agizo la Mungu pale bustani ya Eden. Sasa kama wewe unapingana naye, ni juu yako.
 
Siongeli zama, naongelea maagizo ya Mungu. Mwanamke atazaa kwa uchungu, mwanaume atakula kwa jasho. Kumbuka agizo la Mungu pale bustani ya Eden. Sasa kama wewe unapingana naye, ni juu yako.

Nyie ndo wale wenye ideology za 'kazi ya mwanamke ni kuzaa tu' hana sauti wala uwezo wa kufanya zaidi!Biblia pia inatuambia tuwe tunalipiza jicho kwa jicho...sidhani kama ndivyo tunavyoishi!
 
Nyie ndo wale wenye ideology za 'kazi ya mwanamke ni kuzaa tu' hana sauti wala uwezo wa kufanya zaidi!Biblia pia inatuambia tuwe tunalipiza jicho kwa jicho...sidhani kama ndivyo tunavyoishi!

Kama mwanamke angekuwa ni kuzaa tu, familia nyingi zisingesimama. Zaidi ya hilo wanatafuta kama wanaume, wazijua sababu zilizowafanya nao watafute kwa jasho? Ndo mchango wake mkubwa! Asilimia kubwa ya wanawake wanaplay part ya mwanaume kwa sasa, mwanauma anafanya nini?
 
Nafurahi kwamba umeshindwa kujibu swali langu na umejigeuka mwenyewe!Kama wanawake wasiposaidiana na wanaume familia nyingi hazitaendelea!
 
Nafurahi kwamba umeshindwa kujibu swali langu na umejigeuka mwenyewe!Kama wanawake wasiposaidiana na wanaume familia nyingi hazitaendelea!

Sidhani kama unachokitetea unakijua Lizzy, samahani kwa kusema hivyo. Mwanaume ni wajibu wake kutimiza majukumu yake, mwanamke ni msaidizi tu, na siyo wajibu wake. Usawa wa kusaidia kuzungusha raundi za bia nehiii... kabisa, kuna vitu muhimu vya kufanya katika familia. Labda nikuulize mwenzangu, umeshaolewa?
 
Tayari umesema mwanamke ni msaidizi...sasa kumsaidia mwanaume kunageuka vipi kosa?!?Kuolewa au kutokuolewa kwangu is irrelevant here!
 
Tayari umesema mwanamke ni msaidizi...sasa kumsaidia mwanaume kunageuka vipi kosa?!?Kuolewa au kutokuolewa kwangu is irrelevant here!

Usikasirike dia, tunaeleweshana. Inapofika wakati, inabidi tukubaliane kutokukubaliana.
 
Usikasirike dia, tunaeleweshana. Inapofika wakati, inabidi tukubaliane kutokukubaliana.

Kila saa unakimbia nnachosema!Sijakasirika...nimekwambia tu kwamba haina umuhimu kwenye hii mada!Nwyz kukubali kutokukubali haiwezekani kwasababu umeshindwa kutetea point yako!
 
Back
Top Bottom