Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake masikioni akiwa na ear phone.
Nikawa navuta muda achoke kuchati au simu izime chaji nianze mchakato wa kujiprint kwake.
Kwa bahati mbaya nikapitiwa na kausingizi nikaota ndoto kabisa.
Nilikuja kushtuka yule dada akinitikisa kwa nguvu ili niamke huku akipiga kelele "kaka fungua dirisha bwana kwanini unatuumiza namna hii"
Kusema ukweli hali ya hewa ilikuwa mbaya sana ukizingatia A.C haikuwemo mle ndani. Watu wote waliokaa siti za jirani walikuwa wameziba pua zao kwa mikono huku baadhi wakijaribu kujizuia kutapika.
Nikajua kwa vyovyote vile nikajua kitu kiliniponyoka nilipokuwa nimelala maana tangu asubuhi tumbo lilikuwa limejaa gesi.
Nilifungua dirisha nikiwa nimefedheheka sana. Kila mtu kule ndani alikuwa anaongea lake huku baadhi ya masela wakibaki wanacheka tu.
Wanawake wengi walikuwa wakinisimanga utafikiri wao hawajambi..
Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake masikioni akiwa na ear phone.
kwanini suruali yako haina EXPANSION JOINT haya ndio madhara ya kutoacha pa kupumulia wazi.hewa itakuwa imetoka kwa shida sana!! ikiwa imejichuja!!
![]()
Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake masikioni akiwa na ear phone.
Nikawa navuta muda achoke kuchati au simu izime chaji nianze mchakato wa kujiprint kwake.
Kwa bahati mbaya nikapitiwa na kausingizi nikaota ndoto kabisa.
Nilikuja kushtuka yule dada akinitikisa kwa nguvu ili niamke huku akipiga kelele "kaka fungua dirisha bwana kwanini unatuumiza namna hii"
Kusema ukweli hali ya hewa ilikuwa mbaya sana ukizingatia A.C haikuwemo mle ndani. Watu wote waliokaa siti za jirani walikuwa wameziba pua zao kwa mikono huku baadhi wakijaribu kujizuia kutapika.
Nikajua kwa vyovyote vile nikajua kitu kiliniponyoka nilipokuwa nimelala maana tangu asubuhi tumbo lilikuwa limejaa gesi.
Nilifungua dirisha nikiwa nimefedheheka sana. Kila mtu kule ndani alikuwa anaongea lake huku baadhi ya masela wakibaki wanacheka tu.
Wanawake wengi walikuwa wakinisimanga utafikiri wao hawajambi..
Thubutu yake..Siku nyingine ukisikia gesi tumboni piga mil.100 za konyagi na mambo yatakuwa murua. Hii itaondoa fedheha kama hiyo uliyoipata. Vp uliweza kujiprint tena kwa huyo manzi?
Hukula mayai ya kuchemshwa kweli ww?Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake masikioni akiwa na ear phone.