Wanawake kuweni na huruma msituaibishe jamani

Pozi lote la kujiprint kwa sista duu likaisha
 
😀 😀 😀 😀
 
Daaah...wewe jamaa nimechekaaah mpaka roommate wangu wameamka aseeeh...
 
Uzi huu umenifanya nione siku ya amani sana kwangu bigup mkuu.
 
Mkuu umenifanya nicheke nilikuwa sijacheka tangia asubuhi! Sipati picha ulilifurumua la kiasi gani
 
 
 
Siku nyingine ukisikia gesi tumboni piga mil.100 za konyagi na mambo yatakuwa murua. Hii itaondoa fedheha kama hiyo uliyoipata. Vp uliweza kujiprint tena kwa huyo manzi?
Thubutu yake..
 
Pole mkuu, kwa hiyo hata kutupa ndoano yako uliahirisha kwa sbb ya aibu? Au ulijikaza kiume?
 
Hukula mayai ya kuchemshwa kweli ww?
 
Kwakweli nimecheka saaaaana jamani huku jf kuna mambo.acha tu niendelee kumsubir YESU maana anakuja
 
We unasafiri alafu unakula mayai ya kuchemsha, mahindi, karanga nk ukitegemea nini!!!
 
Inasikitisha sana, kama unatoa mishuzi usingizini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…