Wanawake kuweni na huruma msituaibishe jamani

Sasa hapo mwanamke kakuaibisha au umejiaibisha mwenyewe [emoji57][emoji57][emoji57]
 
sema ulizingua arifu ilikuwaje kizembe tu kwenye umati unaachia kitu..usingizi wa hivo noo usile siile wakati wa safari
 
Ulikunywa Maziwa ya mtindi na ngozi nini mkuu!
 

Ulikosea, ilibidi umwambie mdada akupige vidole tu ili gesi ipungue tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…