Wanawake kuweni wasafi

Wanawake kuweni wasafi

YE67NBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
15,155
Reaction score
36,337
Aisee Jana nimetoka safarini from Dar to Arusha kuja kusherekea kristmasi nilipanda marangu coach alfajiri saa 11:45 safari ikaanza mwanzo ulikuwa hauna shida tulisafiri mpaka saa 7 tukaenda sehemu ya kula na kutolea haja na tukaunganisha sasa mpaka Moshi mjini nikaamua nihame siti nikakaa dirishani maana watu walipungua kwenye gari kuhamia hapo kwingine.

Mara ghafla bin vuu kidemu kimetoka huko cheupe kimevaa khanga mapaja njee Ila harufu sasa khaa Kama mayai viza na samaki aliyeoza ukichanganya hayo makwapa, miguu michafu mieusi kisa vumbi ndo uwii huwezi amini tumesafiri 2 hrs sijamwangalia usoni asee maana ni shombo tu nilibaki natizama dirisha tu uzuri a.c ilikuwepo na nilikuwa naskiliza mziki kwenye earphone lkn khaaa alinikosesha stimu kabisa.

Ushauri; naombeni tuwe wasafi hata kwa wanaume Ila nyie wanawake mkiwa wachafu ndo balaa asee ndo maana wanawake wengi wa kiislam wanajipaka Yale ma perfume Yao nimeyasahau kabisa wanajifukiza kabsa hata ukipishana nao unasema yes huyu ni ke kweli Hawa wadada na wamama wanaovaa mikanga [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961] duuh mjirekebishe hasa kwenye vyombo vya usafiri ili msiwakwaze wenzenu asee [emoji23].

SIWASILISHI#$
 
Kuna siku nimesafiri kwenye gari moja aisee nilijuta kukaa nayule kiumbe alikuwa anatoa harufu sijui ndio wanaita ng'onda sijui alikuwa ametoka kuliwa akapanda kwenye gari bila kuoga alikuwa ananuka sana
 
Jaman usafi na uchafu ni hulka ya mtu maana na wanaume wapo wanaojipenda wasafi na wapo ambao hawajali unakuta mwanaume ananuka kama beberu so huwez sema ni wanaume wote wananuka au hawajui kujifanyia usafi hiyo ni hulka ya kila mtu na namna mtu anajijali[emoji851]
 
..hiyo mbona tisa...kumi usafiri na lidada lenye kutapika hovyo..yapo madada huwa hayawezi kusafiri bila kutapika..alafu ukute we uko dirishani lenyewe liko pembeni yako na lataka mda wote kutapika dirishani...utakoma...na hapo ukute hakuna siti iliyo wazi...na safari ni ndefu songea kwenda mwanza...utaoza nakwambia....
 
Back
Top Bottom