YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Aisee Jana nimetoka safarini from Dar to Arusha kuja kusherekea kristmasi nilipanda marangu coach alfajiri saa 11:45 safari ikaanza mwanzo ulikuwa hauna shida tulisafiri mpaka saa 7 tukaenda sehemu ya kula na kutolea haja na tukaunganisha sasa mpaka Moshi mjini nikaamua nihame siti nikakaa dirishani maana watu walipungua kwenye gari kuhamia hapo kwingine.
Mara ghafla bin vuu kidemu kimetoka huko cheupe kimevaa khanga mapaja njee Ila harufu sasa khaa Kama mayai viza na samaki aliyeoza ukichanganya hayo makwapa, miguu michafu mieusi kisa vumbi ndo uwii huwezi amini tumesafiri 2 hrs sijamwangalia usoni asee maana ni shombo tu nilibaki natizama dirisha tu uzuri a.c ilikuwepo na nilikuwa naskiliza mziki kwenye earphone lkn khaaa alinikosesha stimu kabisa.
Ushauri; naombeni tuwe wasafi hata kwa wanaume Ila nyie wanawake mkiwa wachafu ndo balaa asee ndo maana wanawake wengi wa kiislam wanajipaka Yale ma perfume Yao nimeyasahau kabisa wanajifukiza kabsa hata ukipishana nao unasema yes huyu ni ke kweli Hawa wadada na wamama wanaovaa mikanga [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961] duuh mjirekebishe hasa kwenye vyombo vya usafiri ili msiwakwaze wenzenu asee [emoji23].
SIWASILISHI#$