Wanawake kwanini mkiambiwa kuhusu hii tabia inatukera wanaume hamjirekebishi?

Wanawake kwanini mkiambiwa kuhusu hii tabia inatukera wanaume hamjirekebishi?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
upload_2017-8-9_9-34-23.png

upload_2017-8-9_9-35-59.png
 
Ungeweka na message uliyojibu baada ya kuambiwa yupo na rafiki yake.... umeshindwa kumpa makavu muhusika unakuja kulialia jf

sent from kuzimu
 
Ungeweka na message uliyojibu baada ya kuambiwa yupo na rafiki yake.... umeshindwa kumpa makavu muhusika unakuja kulialia jf

sent from kuzimu
Mkuu umenifurahisha sana
 
Mkuu unataka nichafuliwe kwenye mitandao kuwa jogoo hapandi japo tatizo sio jogoo🙁🙁🙁🙁
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na unaogopa kuongezewa na mashtaka ya kuwa na kibamia juu wakati inaweza kuwa sio kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake bwana. Inanikumbusha enzi za sekondari mtt alitaka kugegedwa na kuwa ningekataa angenitangaza mtaani kwetu kuwa nina kibamia, kwann nisingepata dilemma kweli!, daaaahhh
Waambie watangulie bar na kila mmoja aagize wine yake alafu zima simu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaaan nimejua kucheka leo

Umenichekesha ulivozungushia hizo key word
 
Yaaaan nimejua kucheka leo

Umenichekesha ulivozungushia hizo key word
Hahahah yani ni kama enzi za sec pale Azania ambapo mwalimu wa history anakuta points zote nimezi bold kabisa kwa wino mzito🙂🙂🙂🙂
 
Eti sisi....hao unawaacha kwny mataa wanataka kukuia hela yako tu
 
Back
Top Bottom