Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma lakininuzi wenyewe? Au umewahi nafasi alafu utasoma badae.
Ahahahahaaaa nilishausoma uzi,mida sanaUmesoma lakininuzi wenyewe? Au umewahi nafasi alafu utasoma badae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka nichafuliwe kwenye mitandao kuwa jogoo hapandi japo tatizo sio jogoo🙁🙁🙁🙁Waambie watangulie bar na kila mmoja aagize wine yake alafu zima simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na unaogopa kuongezewa na mashtaka ya kuwa na kibamia juu wakati inaweza kuwa sio kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake bwana. Inanikumbusha enzi za sekondari mtt alitaka kugegedwa na kuwa ningekataa angenitangaza mtaani kwetu kuwa nina kibamia, kwann nisingepata dilemma kweli!, daaaahhhMkuu unataka nichafuliwe kwenye mitandao kuwa jogoo hapandi japo tatizo sio jogoo🙁🙁🙁🙁
Waambie watangulie bar na kila mmoja aagize wine yake alafu zima simu.
Sent using Jamii Forums mobile app