Wanawake kwanini mkiambiwa kuhusu hii tabia inatukera wanaume hamjirekebishi?

Sasa mkuu nini kifanyike?
Hapo mkuu ili kukomesha tabia ovu hio....waambie kuna sehem umepita kwahio watangulie waagize vyoote wanavyotaka na wewe wakuchukulie henken 5 waziweke mezani na kuku wazima wawili..
Then wakishaagiza ukahakikisha viko mezani zima simu yako uende karibu na hio bar kama undercover agent uwacheki wanavyoaibika kwa kuosha vyombo na kuacha mikoba yao..

Usisahau kuwapiga picha hata 2 za mrejesho kesho....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan mchana huu wa leo yamenikuta haya,yaan kadem nmejuana nako sku4 zilizopita,kinafanya kaz za promotion za tigo,sasa tokea juz kinanirusha,leo kamekubal kuja,kakanambia ndo kanatoka kazin ila katakuja na rafk yake niwapeleke sehem yoyote,..yaan kuna hasira flan ikapanda hapo,nkampa makavu,..kua stak kolabo,aje mwenyew,kamekuja ila mzigo kamegoma,et skunyingne,what a shame.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…