carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Hapo mkuu ili kukomesha tabia ovu hio....waambie kuna sehem umepita kwahio watangulie waagize vyoote wanavyotaka na wewe wakuchukulie henken 5 waziweke mezani na kuku wazima wawili..Sasa mkuu nini kifanyike?
Then wakishaagiza ukahakikisha viko mezani zima simu yako uende karibu na hio bar kama undercover agent uwacheki wanavyoaibika kwa kuosha vyombo na kuacha mikoba yao..
Usisahau kuwapiga picha hata 2 za mrejesho kesho....
Sent using Jamii Forums mobile app