vox stunts
New Member
- Mar 12, 2021
- 0
- 0
NakaziaWanaume Tunapitia Comments Maana Hatujaulizwa Sisi
Kama HAitendi Haki Kwa Hii ThreadKamati ya picha vipi tuende kw mifano[emoji15][emoji15]
Mtazame mke wako na ma oversize yake, hawa wanaovaa za kubana tuachie sisiKwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?!
Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali!
Si kanisani, si kazini, si mtaani, si mjini si kwenye sherehe! jambo moja kwenu linafanana, NGUO ZA KUWACHORA! na hata mnatembea au kuinama kwa shida!
Mmekumbwa na nini, hamuoni haya?
Hamjui mnatupa tabu wanaume? wote mnajiuza?