Wanawake, kwanini mnavaa nguo za kubana?

Wanawake, kwanini mnavaa nguo za kubana?

wanavaa zakubana ili ukague kwa haraka, maana wanaume tunataka kujua yule yupoje...sasa akivaa deraa hutoelewa saizi yake. pia ugeuze shingo ajue ameangaliwa leo... mwanamke atoke ndani siku nzima bila kusemeshwa au kuangaliwa hajisikii vzr...nguo pana zinaficha.
 
Kwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?!

Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali!

Si kanisani, si kazini, si mtaani, si mjini si kwenye sherehe! jambo moja kwenu linafanana, NGUO ZA KUWACHORA! na hata mnatembea au kuinama kwa shida!

Mmekumbwa na nini, hamuoni haya?

Hamjui mnatupa tabu wanaume? wote mnajiuza?

Mtazame mke wako na ma oversize yake, hawa wanaovaa za kubana tuachie sisi
 
Back
Top Bottom