Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE
Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao.
Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na Eudoxie Yao na kuandika upendo wa kweli hauna kikomo!.
FOLLOW Aston John Carter