Wanawake kweli wanahuruma, Grand P arudiana na mpenzi wake

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE

Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao.

Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na Eudoxie Yao na kuandika upendo wa kweli hauna kikomo!.



FOLLOW Aston John Carter
 
Ukiwa na hela,UMAARUFU au madaraka
Sauti yako TU inatosha kumfikisha mwanamke kileleni [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…