ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 674
twawezaaa katikaa uboraaa waooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papuchi nayo ikawa kushoto kushotoHahaaa mambo yakawa kushotokushoto
[emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji12]Ujuzi wanao wao sasa mimi nilete ujuzi kama vile nakazwa . Khaaa !
kwa hali hii ndo kusema mama JESCA noma kwa sita kwa sitaWakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana kitandani huwa wana maufundi naturally. Kwa wakongwe hebu jaribu kushare uzoefu maana hapa najiandakuingia field ili ni prove haka ka opinion.
Nawasilisha wakuu kushare ma experience.
Mkuu huko ulipoelekea.kwa hali hii ndo kusema mama JESCA noma kwa sita kwa sita
aseehPapuchi nayo ikawa kushoto kushoto
Hunter acha kufukua makaburi ya huyu zombie yataleta madhara heri yale mengine kaendeleeaseeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hunter acha kufukua makaburi ya huyu zombie yataleta madhara heri yale mengine kaendelee
Heri mkuu upite maana huyu jamaa kafukua makaburiM napita tuuu
Kaburi la Zombie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
teh tehKaburi la Zombie.
KhiiiiKheeee
HHahaha una maana gani mkuu...?mimi naandikia yote_[emoji41]
Ni kweli mkuuWakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana kitandani huwa wana maufundi naturally. Kwa wakongwe hebu jaribu kushare uzoefu maana hapa najiandakuingia field ili ni prove haka ka opinion.
Nawasilisha wakuu kushare ma experience.
unamtafuta tena?We utakuwa balaa sana inabidi nikutafute.
teh teh yaan watu hamtatuacha salama kwa vichekoHHahaha una maana gani mkuu...?