Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Na wadada pia aisee mjioshe vizuri kule chini. Ile harufu kama samaki waliooza tukianza game inakata stimu sana.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Tunakutana nazo hizo harufu .....labda haifanani na samaki walioharibika (japo mi niliskia hivyo) ila Kuna harufu fulani hivi najua wanaume wenzangu waliokutana na hii Hali Kwa wadada wanaelewa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
mzee baba achana na hiyo kitu kabisa...unaweza ukawa umechil na wana, tena 4 days after mnyanduano,, ila ghafla harufu inapita mapuani, hapo utajishtukia na kujiuliza, inamaana hawa wahuni hawaisikii hii harufu, au wanavunga tu ili kunistili mwanao? Kinachofata Hapo lazima uage...
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Ni shida kwakweli. Wakati sisi tunashughulikia swala la jasho, mdomo na chunusi pia wao wakaliangalie hili.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…