Wanawake....let's be kind to men!!

Am going through this right now. Halafu ni mwanamke ambae tumepanga kuoana. Mpaka nafikiria ku cancel tu nianze na moja. Upo so right dada yangu
Pole sana rafiki.

Jitahidi kuongea nae maana mara nyingi kinachofelisha mahusiano mengi ni black of communication kwasababu bila hivyo misunderstanding linakuwa nyingi. So...just talk to her. Jaribu kumuelewa yeye huku ukiendelea kumuelewesha upande wako.
 
Thank you
Am 200% sure mwanamke akisimulia utanyoosha mikono juu..mwanamke huyo didnt change frm nowhere kuna sababu

Kuna kitu jamaa kafanya na on top bado anasaliti ndoa yake
How can u be loving to a man like that?.,
 
Samahani ni neno dogo sana ila lina nguvu ya kufuta maudhi mazito mno rohoni

Wewe ni binadamu ipo siku unakosea
Ukikosea tumia samahani
Haijalishi ni mwanamke au mwanaume
Ndoa zisizo na hili neno samahani ni jehanamu
 
Thank you
Am 200% sure mwanamke akisimulia utanyoosha mikono juu..mwanamke huyo didnt change frm nowhere kuna sababu

Kuna kitu jamaa kafanya na on top bado anasaliti ndoa yake
How can u be loving to a man like that?.,
Agreed....BUT...being a woman myself najua kwamba wakati mwingine Sisi wanawake huwa na tendency ya ku-overreact. Mtu anaweza kukosewa kidogo akakuza weeee.....gubu likatawala mpaka mwanaume anapachukia kwake. Na hapo ndo mwanzo wa kutafuta pakukimbilia.
 
I'm waiting M'Jr ....usiniangushe [emoji57][emoji57]

So it’s a long story but will try to make it short and utanisamehe kama nitakuwa naiweka kwa awamu.

That day nilikwambia I will give you the feedback we met and talk in details. The aim was to put some basic principles if we had to go on or close the chapter if we thought it had come to the end. Unfortunately, we left there each of us promising to improve because kwenye mazungumzo yetu we talked about closing the book but it seems like we both needed to read more.

Now to understand our situation I have to start from the beginning and sometimes will have to talk about our previous lives because our old lives play a major role in the decisions that we found ourselves doing in our relationship.
 

Go on....go on 🙂🙂
 
Go on....go on [emoji846][emoji846]

We met in a very ridiculous situation in a far Region with a situation that didn’t look like it could lead to a relationship. By then I was working outside Dar and she lived in Dar. She came there for an event and along the way she ended up in my house coZ the power went off and she had to submit a report and that day was a deadline. So in the middle of her frustration, a person who was with her knew me so he asked if she could use my laptop, I gave them the keys to my house and that lead to communication and pap (baby, darling, honey) came, by then I had also moved to Dar.
Now when I met her I had a girlfriend, she was married but they were separated by then divorce process on going (So by then I didn’t feel like I was going out with a married woman due to that situation)
This went on until we started going to each other’s homes and started introducing each other to friends and family before we know it we started living together.
 
Enhe.......😏😏😏
 
Samahani ni neno dogo sana ila lina nguvu ya kufuta maudhi mazito mno rohoni

Wewe ni binadamu ipo siku unakosea
Ukikosea tumia samahani
Haijalishi ni mwanamke au mwanaume
Ndoa zisizo na hili neno samahani ni jehanamu
Nafahamu hilo,
Ila huyu naweza sema ni mkorofi, maana anaeeza kutafuta sababu yoyote ile ili kunikwaza tu

Pia anajaribu kunitawala yaani anataka mimi niwe chini yake ( naweza kusema anataka mimi niwe mwanamke na yeye awe mwanaume )

Mfano hii leo na mvua hii inayonyesha imetokea dharula anataka mi nikamchukulie kitu sokoni ( katoka kujifungua ) mi nikamwambia na mvua siwezi kutoka kwa nini asingenunua au asingeniagiza tangu jana nirudi nacho mpaka aniagize leo asubuhi muda anaotaka kutumia?

Akajifanya kukasirika kufika saa 17:23 mvua ikapoa nikataka kwenda kumchukulia anadai basi kaghairi, kufika saa 20:00 anamwambia mzee kuna kitu anahitaji mimi nikamnunulie, mzee kuja kuniambia mimi nikapiga kimya

HUYU ANATABIA NYINGINE AMBAYO HII NDO ITAKUWA SABABU KUU YA KUMTALIKI
NI KWAMBA ANAWEZA KUNIKOROFISHA MAKUSUDI MWISHO WA SIKU MIMI NDO NAONEKANA MBAYA MAANA HUWA ANATABIA YA KUWAAMBIA NDUGU ZAKE NA HUYU RAFIKI YAKE AMBAYE NI MKE WA MPANGAJI MWENZANGU NA MAMA MWENYE NYUMBA

NA WAO BILA KUCHUKUA MAELEZO YA PANDE ZOTE MBILI WAISHIA KUNIONA MIMI MBAYA

Wacha niishie hapa maana mambo yapo mengi sana na hapa nilipo tayari nimeshaita wanafamilia kwa ajili ya kikao kesho naamini kesho ndo nitatoa maamuzi rasmi maana huyu mtoto wa pili hataki mimi nitoe jina anataka ampe yeye jina la mama yake wakati mtoto wa kwanza aliniambia nisitoe jina la kulithi kutoka kwa babu wala bibi ila yeye anataka kumpa

Kupika chakula kagoma badala yake kaenda kununua chips kala na mtoto mi kula kwa mama ntilie

Hayo yote niliyosema yametokea leo bado sijasema ya siku za nyuma yaliyopelekea niwe nampiga makofi

Nasubiri amalize arobaini mimrudishe kwao maana kikao cha kesho wanafamilia nitawajulisha hili tu basi

AISEEE...! NAONA BASI INATOSHA NDOA IMEKUWA NDOANA
 
Aiseeh pole sana Chief....
 
Nimependa the way ulivyo flow...honestly maneno hayo tungeongea sisi wanaume wenyewe, pengine tusingeeleweka kiurahisi....may be yangeonekana as mechanism defense!!!!

Ni kweli kabisa, sisi wanaume ili tuwe vizuri mentally....huwa ina depends na haiba ya mwanamke, aliyopo pembeni yetu. Tena maskini ya Mungu, ukitukuta sisi wengine ambao tupo too innocent....huwa hatupendagi kabisa kuwa na side chick, wala any blah blah hasa linapokuja suala la mahusiano. Ila unfortunately hatuwapatagi wanawake sahihi kwetu, wenye kufahamu UZURI WETU.....muda mwingi huwa tunaishia kudondekea mikononi mwa manyang'au tu!!! Very sad....

Anyway ngoja niishie hapa, thank you Lizzy kwa kutusaidia kuongea.....God blesss you.
 
kwa mademu wote nitakao waumiza wajue kuna mtu alisababisha some where sasa hivi ni ngumu kum-treat any demu with respect katika mahusiano labda ndio njia ya kuepuka kutokua disappointed again ,nilikuja kugundua no matter how you care abt them they take it for granted,
 
LOVE too much hurt so much.
HOPE too much hurt so much.
TRUST too much hurt so much.

Umeandika vizuri sana wala sikukosoi ila ningeona mahala umetushauri na sisi wanaume tujifunze ku balance shobo ningefurahi zaidia ya hapa .. all in all kama ningeusoma huu uzi before 2019 ungekua uzi wangu bora wa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…