Wanawake....let's be kind to men!!

Arif samahani, hivi sio kwamba "the birds of the same feathers fly together "??

Hebu jiangalie kidogo maana mtume amelizungumzia hili kimtindo
 
Pole sana Mkuu
Ikiwezekana mpango wako wa kumtaliki ufanikiwe maana Makofi yanaweza kukugharimu, mimi siamini kwenye njia ya violence yaani makofi I would rather walk away
 
Wait up lizzy,is this really you?????

You were dropping some straight facts na hii akili uko nayo now?🀣
speaking real about you ladies' behavior.
If you were close by I'd hook you up with a gift..πŸ˜…
 
Ukute huko nyuma jamaa alimpiga tukio takatifu mkewe, then mke moyo ukafa ganzi na kwakuwa hawawezi kutengana wakaamua waishi hivyo hivyo
 
πŸ†’πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸ’•πŸ’πŸŽπŸŽ–οΈπŸ†πŸ‘‘
 
Wait up lizzy,is this really you?????

You were dropping some straight facts na hii akili uko nayo now?🀣
speaking real about you ladies' behavior.
If you were close by I'd hook you up with a gift..πŸ˜…
😊😊😊

Zulu man bana....nahhh, huyu alikua cousin yangu ila tupo karibu sana, we could easily be mistaken for one person! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

And yeah...akili iko iko, na saa hii itakua imeongezeka!πŸ€“

I'm sure zawadi inaweza kutufikia kwa DHL, EMS hata Posta watafikisha salama.☺️
 
Ooh sawa sawa,nafurahi kama imeongezeka,nipatie madini mengine nimeboeka now.

Kuhusu zawadi,namba si ile inapatikana bado?πŸ˜…
 
Ukute huko nyuma jamaa alimpiga tukio takatifu mkewe, then mke moyo ukafa ganzi na kwakuwa hawawezi kutengana wakaamua waishi hivyo hivyo
Ahhh....na walikua wanachoshana kweli kweli. Bahati nzuri wameamua kuachana, sasa hivi kila mmoja anapata pumziko elsewhere.
 
Ooh sawa sawa,nafurahi kama imeongezeka,nipatie madini mengine nimeboeka now.

Kuhusu zawadi,namba si ile inapatikana bado?πŸ˜…
Ehhhh...ni ile ile!😁😁

😊😊
Leo ni #tbt tupitie madini ya zamani wakati naandaa #comeback !πŸ€“

Sawa haina shida,nitakutwangia

Ngoja nipitie hayo madini.
 
Ahhh....na walikua wanachoshana kweli kweli. Bahati nzuri wameamua kuachana, sasa hivi kila mmoja anapata pumziko elsewhere.
haya mambo bana!
Yani mwanzo mnaamini hayawaathiri, kumbe yanawatafuna ile mbaya!
Mpk kufika baadae mmeshalika ile mbaya!
Mnafikia uamuzi mliotakiwa kufikia siku nyingiiiii!#
Af unajiona ulichelewa mara ghafla unajiona uliwahi.
Mradi tafarani!
Ila uliandika kitu kizuri!
Shida ni kuwa pengine ulikuta hiyo situation ni second phase/or 3rd.
Yani uliikutia katikati, ilishaanzaga na tukio au matukioooooo, mpka ikafika ukaikuta hapo!
Kubwa nililojifunza mpk umri huu.
Mahusiano /Ndoa inataka both efforts, yani mutual kabisa kabisa. Hata aliyekosewa naye a give in kwenye kujaribu kutoa fursa ya kuombwa msamaha!
na aliyekosea pia!
Ila iwapo WOTE , hakuna anayesumbuka kusogeza hatua kutoka kwenye pole aliyosimama!

Ah TEMEKE hii hapa!
Na wale wasivyotaka kesi za mauaji ziongezeke,ah wanawapa tu gamba lenu kirahisiiii!
 
Wanaume bongo hawakuelewi hata uweje muelewa wao ni wapuuzi tu kwa sasa wanaume kwangu sio kipaumbele
 
My babe doctor una akili sana❀️❀️❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…