Wanawake....let's be kind to men!!

asante lizzy there are a lot to learn from here
 

Mie bwna mwanamke sura mtako na chuchu...hivyo siwezi compromise afterall thats wat titilates me not attitude. Kizingua sii nampiga kibuti...wanawake wamejaa kibao hapa duniani niumize kichwa kwa mwanamke na attitude wakati nilishamgegeda. Nipe not me.
 
Inapendeza sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Ni kweli some women need to change with their attitudes...


Cc: mahondaw
 
I have a very close friend of mine, na yeye alikua na tabia ya kumpa cold shoulder mumewe, aisee nilimchana laivu kuwa what she is doing is so disrespectful. Kabadilika siku hz angalau anamjibu jamaa vizuri. I felt embarased that day, anamjibu mumewe utafikiri anajibizana na konda wa daladala


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bora you did that aisee πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š Ujeuri nao shida.
 

First you have been missed, halafu story ya huyo ndugu inakaribia kufanana na yangu mpaka nimesisimka
 
Lizzy your always right

Nasubiri na Uzi wa Karucee
Wa kufunga mwaka

Bravo Lizzy

Hello Kyalow

Well I could come up with a thread the exact opposite of this.

So men can be a little kinder to women wallahy.

The single women bashing threads should not cross over into the new year.

The dissing threads after dating JF women should come to an end.

We should correct each other in such a way that harmony is maintained and we can see eye to eye regardless of our sexes.
 
I'm waiting!!
 
First you have been missed, halafu story ya huyo ndugu inakaribia kufanana na yangu mpaka nimesisimka
Weeee M'Jr 😳😳😳😳 usikute ndo naniiiii 😜😜. Miss you too...sana yani 😌

For real though...if you were in the same situation pole rafiki yangu....I feel for you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…