Wanawake....let's be kind to men!!

Kila la heri
 
Lizzy kama umebadilika inapendeza Sana. Nakumbuka back then kuna majibu ulikuwa unatoa kwenye nyuzi, nikawa nasema mimi nikiwa na mtu Kama wewe ungekuwa unakula makofi sana.

Karibu tena.
🤣🤣🤣🤣 I'm the same....just a little grown 😉😉 Ila hayo majibu yalikuwa hayatoki bure bure bana....uzushi ulikuwa mwingi.
 
A little grown huh? Sounds good. I think I am gonna like "a little grown" you.
 
Mleta mada nahisi wewe ulikuwa unatumia id ya Asmaa80 ila umeibadilisha na kuwa Lizzy

Kama sio wewe na hukuwahi kuitumia hiyo id basi naweza sema wewe ni mwanamke wa pili niliyetokea kukuelewa baada ya Asmaa80, maana nae alikuwa ana akili sana
 
Sasa Lizzy naomba na mimi uwe rafiki yangu, ila mimi naomba nikukutanishe na wife kabisa maana hapa nafikiria kumwacha
Krait I really don't mind. Ila tu asije akanimwagia tindikali kwakunidhania...🤣🤣
 
Mleta mada nahisi wewe ulikuwa unatumia id ya Asmaa80 ila umeibadilisha na kuwa Lizzy

Kama sio wewe na hukuwahi kuitumia hiyo id basi naweza sema wewe ni mwanamke wa pili niliyetokea kukuelewa baada ya Asmaa80, maana nae alikuwa ana akili sana
Sio mimi kwakweli. Sijawahi kutokuwa Lizzy tangu nijiunge 2006.
 
Krait I really don't mind. Ila tu asije akanimwagia tindikali kwakunidhania...🤣🤣
Hapana huyu hana wivu au mambo hayo maana huwa namwambia kabisa natafuta pesa nioe mke wa pili anaruhusu, ila tatizo ndo hilo hajui kuomba hata msamaha hata nikimkuta na kosa na uthibitisho upo atajitetea lakini sio kuomba msamaha
 
Sio mimi kwakweli. Sijawahi kutokuwa Lizzy tangu nijiunge 2006.
Hakujui huyu. Wewe nakumbuka kitambo sana, miongoni mwa wajumbe waanzilishi wa Jambo forum. Ulikuwa moto sana, wengi wamepotea isipokuwa wachache. Mimi nilikuwa natumia ID tofauti na hii ila sitaitaja.
 
Hapana huyu hana wivu au mambo hayo maana huwa namwambia kabisa natafuta pesa nioe mke wa pili anaruhusu, ila tatizo ndo hilo hajui kuomba hata msamaha hata nikimkuta na kosa na uthibitisho upo atajitetea lakini sio kuomba msamaha
Hehehehe....ana mfumo dume ehhh??? Wewe he?? Huwa unaomba samahani???
 
Hakujui huyu. Wewe nakumbuka kitambo sana, miongoni mwa wajumbe waanzilishi wa Jambo forum. Ulikuwa moto sana, wengi wamepotea isipokuwa wachache. Mimi nilikuwa natumia ID tofauti na hii ila sitaitaja.
True..true!! Heheh...kwanini ulibadilisha?? Ulifanya majanga ehhh??😉
 
Haya mambo haya, yaache tu kama yalivyo.

Rudisha ile avatar yako ya Lauryn Hill kama sikosei.
Sema bana...

Ohhh man. Nilikuwa naipenda balaa. Ningeirudisha ila sema sina tena...na kuipata itakuwa kazi.
 
Hiyo stori achana nayo, nikisema ndiyo nitakuwa nimeanika kila kitu. Ngoja nikutafutie hiyo avatar gugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…