kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Yaani! Nimesoma hadi nimeskia rahaaaaa
Same to you mkuu. Lizzy seems to be so intelligent and I like these kind of peopleEwaaaah. Happy new year mkuu.
You are brilliant. Or rather genius, I mean you are wonderfulYES & YES 👊👊
Kwakuongezea tu....Mothers play a big role on that department so let's plant better seeds in our boys. They'll only be better if we teach them to!!
Can you prove it rafiki???Tupo kibao tu nyie c kutwa kusema jf women are rejected
The girl is brilliant mpaka nimejikuta nimem-PMNadhani ni matoleo machache Mungu aliyetengeneza, na hiyo siku yakuwatengeneza mambo hayakuwa mengi..
Most of you are so brilliant in here. That's the factSisi wengine je?
Most of you are so brilliant in here. That's the fact
Hongereni sanaaaTumeuanza mwaka kwa sifa kedekede.
Thank you mkuu
Heri ya mwaka mpya ChiefHongereni sanaaa
Na kwako pia mkuu. Are you in TZ broo???Heri ya mwaka mpya Chief
Bado sijageuka bro, nitakujulisha nikigeukaNa kwako pia mkuu. Are you in TZ broo???
Pamoja sana kaka. PambanaBado sijageuka bro, nitakujulisha nikigeuka
Thanks lizbert but never ever judge by listening the one side. Mwanaume anampenda mmewe that is true but ni nini chanzo cha mwanamke kua hivyo? Alimuoa akiwa hivyo hivyo? Amedate Naye akiwa hivyo hivyo? Kitu ambacho hakiibgii akilini. Ninachojua tu kuna some point mwanamke ukimkosea kila Siku kwa kuchukulia advantage kua huwa anakusamehe matunda yake ni haya unabadilisha tabia yake mazima. Na ndo mana hawezi muacha mkewe ni km analipia madhambi yake.
Happy new year too mrembo, nimemisi hadithi yako sijui iliendelea?