Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

Wanawake LIVE: Mange Kimambi azungumzia maisha yake binafsi, mipango na ndoto ya kuolewa na mzungu

Matatizo ya ndoa yake anayaweka public so sidhani kama unakubaliana na hili pia kutoka kwake.
Nakubaliana nae, huyu ni mtu very open, ni mtetezi wa haki za wanawake na mpinga ukatili dhidi ya wanawake, inapotokea na yeye amepigwa, hawezi kukaa kimya, ila siungi mkono kutoa siri kuwa mume wake ni marioo.

P
 
Aisee! Kipaji kinamvua nguo mumewe huko na ushahidi wa aibu za mumewe keshasambaza kwenye mitandao ili watoto wake wakikua wajue aibu zao!!..
Kipaji ni one thing, na thinking capacity ni another!. Hana thinking capacity!.
Kipaji ni one thing na I.Q ni another, ana very low IQ!.
Kuwa na kipaji ni one thing na kuwa na akili ni another, japo ameishia darasa la 7, lakini kichwani it's an empty shell, kwa sababu mababu na mabibi zetu, hawakusoma hata darasa moja lakini walikuwa na akili!.

Joyce Kiria ana kipaji na ni mwanamke jasiri, kuwa muwazi pia ni ujasiri, ila uwazi huo unapotoa siri za ndani ni ujinga. Angeweza kupingwa kupigwa bila mention ya mume marioo!.

P.
 
Upo sahihi kabisa Pascal,huyu mwanamke ni kichwa maji kabisa.Joyce hana sifa hata za kuwa "hawara" wa mtu mwenye akili timamu, kwani ni mwanamke aliyekosa maadili.Kama Kilewo ni "marioo" as she claims na haja ona any potential in him, huyo mwanamke asingekubali kuwa mke wake na kumzalia watoto.Tatizo la huyu dada alitarajia safari ya kisiasa ya mumewe ingekuwa smooth na sasa angekuwa mke wa mheshimiwa mbunge.Tukirudi nyuma huyu mwanamke aliwahi kumdhalilisha aliyekuwa mume wake wa ndoa ya kanisani, Dj Nelly.Hakuna mwanadamu asiye na ukomo wa uvumilivu, so far tumesikia upande mmoja tu wa kilichotokea na hiyo ni kutoka kwa mlalamikaji ambae ni yeye mwenyewe Joyce.
 
Super woman na siku zote atakuwa super woman. IQ yake kubwa sn yule dada binafsi namwelewa sana
 
Kipaji ni one thing, na thinking capacity ni another!. Hana thinking capacity!.
Kipaji ni one thing na I.Q ni another, ana very low IQ!.
.Kweli kabisaa

Joyce Kiria ana kipaji na ni mwanamke jasiri, kuwa muwazi pia ni ujasiri, ila uwazi huo unapotoa siri za ndani ni ujinga. Angeweza kupingwa kupigwa bila mention ya mume marioo!.

P.
Tena ujinga kiwanho cha SGR,kabla ya kumtangaza sasa hivi kama marioo,mwanzoni alikuwa na nani???au alikuwa anadanga??
 
.mwanzoni alikuwa na nani???au alikuwa anadanga??
Hili la kudanga nalo neno!. Wanawake wengi tuu wanadanga ila kiheshima!. Mfano kuna watu wamedanga hadi kupata ubunge na uwaziri na bado wanadanga!. Kuna wanawake kibao wanadanga rasmi kwa kulipiwa pesa za kudanga kwa jina la mahari, na bidhaa hiyo anadangiwa mteja mmoja mmoja tuu kwa kuuziwa jumla kwenye kitu kinachoitwa ndoa.

Hili nililizungumza hapa

Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!"

Paskali
 
Back
Top Bottom