kwa nini??, kwan hawafahamiki au??Apo mkuu unawatafutia kiki tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama wema hahahahaha
Tunda anajielewa wewe,tunda sio mtu wa mchezo mchezo bhanaKama Tunda hayupo list yako ni batili
Katulia ina mana na pichu kaanza kuvaa?Yap uwoya siku hiz katulia sana ameamua kufanya mambo yake kimyakimya basii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , ngoja akusikie mwenyewehivi huyu faiza ally ndio faiza fox au?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mi naomba ya huyo bi kizee, anaonekana bado yuko vizuri ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana baby madaha mbona hasemi anaota anafanya mapenzi na kingwendu ? Kamuona ronardo tu.