Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini??, kwan hawafahamiki au??Apo mkuu unawatafutia kiki tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama wema hahahahaha
Tunda anajielewa wewe,tunda sio mtu wa mchezo mchezo bhanaKama Tunda hayupo list yako ni batili![]()
Katulia ina mana na pichu kaanza kuvaa?Yap uwoya siku hiz katulia sana ameamua kufanya mambo yake kimyakimya basii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , ngoja akusikie mwenyewehivi huyu faiza ally ndio faiza fox au?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mi naomba ya huyo bi kizee, anaonekana bado yuko vizuri ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana baby madaha mbona hasemi anaota anafanya mapenzi na kingwendu ? Kamuona ronardo tu.