Wanawake maarufu wenye mambo ya ajabu Bongo

Wanawake maarufu wenye mambo ya ajabu Bongo

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
1:Faiza Ally, huyu aliwahi kuwa mpenzi wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi ila kutokana na tabia zake za ajabu ajabu hatimaye mheshimiwa aliamua kunyoosha mikono na kuachana nae ,

Kwa kudhihirisha hilo Faiza Ally kupitia instagram alionyesha furaha ya hali ya juu kwa kuona idadi ya watu wanaomtusi wakiongezeka ,hivyo basi amejiona yeye ni supastaa anayekuja juu kwa kasi zaidi


1473960355017.jpg



1473960368410.png



2:Gigy Money
Huyu naye ana mambo ya ajabu sana ,hilo lilidhihirika kwa kiasi kikubwa pale alipokuwa akifanya mahojiano na Zamaradi Mketema kupitia kipindi cha take one kinachorushwa kila siku ya jumanne


Kile kitendo cha kujisifu kutoka kimapenzi na mtu na mdogo wake (Ally kiba na Abdu Kiba ) ni wazi kabisa huyu mtu hajielewi



1473960610417.jpg





3:Amber lulu
Huyu naye ni video Queen hamnazo kabisa, Chogo lake linampeleka puta sana kwa mambo ya ajabu naweza sema hana tofauti na Giggy Money

1473960692293.jpg



1473960704713.jpg




4:Mama Wema Sepetu , huyu naye kila kukicha heshima yake kwa jamii inazidi kushuka kama si kupolomoka kabisa, yeye kila kujicha ni kugombana na vijana ambao ni sawa na wajukuu zake



1473960825617.jpg




5:Wema Sepetu, huyu naye kama mama yake maana wahenga wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka , msemo huu upo sahihi sana ukichukulia mfano wa watu hawa wawili


Wema pia alionekana mtu wa ajabu pale alipojifanya haujui mkoa wa mtwara, vile vile tabia zake za kujifanya amebeba ujauzito kumbe hana kitu ni miongoni mwa tabia za ajabu alizinazo


1473961048640.jpg




6:Shilole , huyu naye bichwa boksi kabisa ,kichwani hamna kitu kabisa

Miongoni mwa tabia za ajabu alizo nazo ni kama vile, kupenda kushikwa shikwa makalio na maziwa anapokuwa anafanya show jukwaani ili mradi tu aonekane show yake imebamba sana na pia aongeze idadi ya mashabiki,


Mbali na tabia hiyo , vile vile kitendo cha kumsingizia mpenzi wake wa awali ambaye walikuwa wakiishi wote igunga alimbaka na akamsababishia ujauzito ni kitu cha ajabu sana maana kitakuja kumuathiri kisaikolojia mtoto wake pindi atakapokuwa mtu mzima


1473961370810.jpg



1473961392933.jpg





7:Snura Mushi , huyu naye hajitambui kabisa, hili limedhihirika pale aliposema anaweza akapigwa denda na mtoto wake wa kiume ikiwa wamepangiwa wacheze kama wapenzi na script ikimtaka afanye hivyo

1473961537113.jpg





8:Baby Madaha, huyu naye ni kichwa maji na miongoni mwa watu wanaosababisha taifa lisipige hatua

Baby Madaha mara kwa mara yeye ni mtu wa kuzungumzia ngono tu muda wote hamna kingine cha maana anachokijua na hata ukimkulupusha usingizini ukimuuliza kitu gani anachokipenda zaidi maishani atakwambia anapenda sana kufanya mapenzi kuliko kitu kingine


Baby Madaha alienda mbali zaidi kwa kusema yeye kila siku huota anafanya mapenzi na Christian Ronaldo,



1473961878570.jpg





9:Agnes Masogange, huyu naye mitako yake inampeleka puta sana maana kila ukikuta habari inayomuhusu yeye basi itakuwa kuhusu matako yake na si vinginevyo



1473961970830.jpg




10:Irene Uwoya, huyu naye hamna kitu na hilo lilidhihirika pale aliposema hapendi kuvaa nguo za ndani kwa kuwa zina muwasha sana, kwa hali ya kawaida hata kama ni kweli zinamuwasha lakini kitendo cha kujitangaza hadharani ni kujiaibisha sana



1473962519805.jpg



1473962531123.jpg
 
Hahahhahah yaan nimecheka sana hahahahaha!!!i wish jf kungekua na ki option cha kurecord sauti usikie nilivyojiachia kwa kicheko usiku huuuu made my night nafikir nitalala mwororo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahhahah yaan nimecheka sana hahahahaha!!!i wish jf kungekua na ki option cha kurecord sauti usikie nilivyojiachia kwa kicheko usiku huuuu made my night nafikir nitalala mwororo
Yupi hapo amekukosha?
 
Elimu Elimu Elimu
Tatizo la Tanzania na Watanzania ni Elimu, wengine watauliza mbona kasoma hadi kamaliza chuo
Elimu ni kile kilichobakia baada ya kusoma kitu fulani iwe kwa mfumo sahihi au mfumo usio sahihi
 
Irene uwoya cku izi huu mdada katulia hana skendo za ajabu kabisa yupo bize na mambo yke
 
Back
Top Bottom