Wanawake maarufu wenye mambo ya ajabu Bongo

Wanawake maarufu wenye mambo ya ajabu Bongo

Huu uzi umeukosea kidogo mkuu.. Ungeandika wanawake maarufu bongo wenye akili timamu.. Ingekuwa vizur wala usingejaza page wala kumalza wino maana ni wachache mnoo, sio minungaembe ulioijadili hapo.. Umemalza wino na wengine umewasahau.. Hiyo michizi ipo mingi tz, 95 ya maarufu wote ni machizi..

Shukran lakn kwa kutuletea cha kukomentia..[emoji23] [emoji23]
 
Ungetaja na makabila yao maana hizi tabia zinaendana na makabila wamerithishwa
 
Bro una wivu na akina dada wa Bongo. Ni dalili za ushoga hizo...
 
Mbona yule aliyeimba wimbo wa "WANAWAKE NA MAENDELEO " sijamuona
 
1:Faiza Ally, huyu aliwahi kuwa mpenzi wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi ila kutokana na tabia zake za ajabu ajabu hatimaye mheshimiwa aliamua kunyoosha mikono na kuachana nae ,

Kwa kudhihirisha hilo Faiza Ally kupitia instagram alionyesha furaha ya hali ya juu kwa kuona idadi ya watu wanaomtusi wakiongezeka ,hivyo basi amejiona yeye ni supastaa anayekuja juu kwa kasi zaidi


View attachment 400921


View attachment 400923


2:Gigy Money
Huyu naye ana mambo ya ajabu sana ,hilo lilidhihirika kwa kiasi kikubwa pale alipokuwa akifanya mahojiano na Zamaradi Mketema kupitia kipindi cha take one kinachorushwa kila siku ya jumanne


Kile kitendo cha kujisifu kutoka kimapenzi na mtu na mdogo wake (Ally kiba na Abdu Kiba ) ni wazi kabisa huyu mtu hajielewi



View attachment 400925




3:Amber lulu
Huyu naye ni video Queen hamnazo kabisa, Chogo lake linampeleka puta sana kwa mambo ya ajabu naweza sema hana tofauti na Giggy Money

View attachment 400927


View attachment 400928



4:Mama Wema Sepetu , huyu naye kila kukicha heshima yake kwa jamii inazidi kushuka kama si kupolomoka kabisa, yeye kila kujicha ni kugombana na vijana ambao ni sawa na wajukuu zake



View attachment 400930



5:Wema Sepetu, huyu naye kama mama yake maana wahenga wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka , msemo huu upo sahihi sana ukichukulia mfano wa watu hawa wawili


Wema pia alionekana mtu wa ajabu pale alipojifanya haujui mkoa wa mtwara, vile vile tabia zake za kujifanya amebeba ujauzito kumbe hana kitu ni miongoni mwa tabia za ajabu alizinazo


View attachment 400939



6:Shilole , huyu naye bichwa boksi kabisa ,kichwani hamna kitu kabisa

Miongoni mwa tabia za ajabu alizo nazo ni kama vile, kupenda kushikwa shikwa makalio na maziwa anapokuwa anafanya show jukwaani ili mradi tu aonekane show yake imebamba sana na pia aongeze idadi ya mashabiki,


Mbali na tabia hiyo , vile vile kitendo cha kumsingizia mpenzi wake wa awali ambaye walikuwa wakiishi wote igunga alimbaka na akamsababishia ujauzito ni kitu cha ajabu sana maana kitakuja kumuathiri kisaikolojia mtoto wake pindi atakapokuwa mtu mzima


View attachment 400946


View attachment 400947




7:Snura Mushi , huyu naye hajitambui kabisa, hili limedhihirika pale aliposema anaweza akapigwa denda na mtoto wake wa kiume ikiwa wamepangiwa wacheze kama wapenzi na script ikimtaka afanye hivyo

View attachment 400949




8:Baby Madaha, huyu naye ni kichwa maji na miongoni mwa watu wanaosababisha taifa lisipige hatua

Baby Madaha mara kwa mara yeye ni mtu wa kuzungumzia ngono tu muda wote hamna kingine cha maana anachokijua na hata ukimkulupusha usingizini ukimuuliza kitu gani anachokipenda zaidi maishani atakwambia anapenda sana kufanya mapenzi kuliko kitu kingine


Baby Madaha alienda mbali zaidi kwa kusema yeye kila siku huota anafanya mapenzi na Christian Ronaldo,



View attachment 400955




9:Agnes Masogange, huyu naye mitako yake inampeleka puta sana maana kila ukikuta habari inayomuhusu yeye basi itakuwa kuhusu matako yake na si vinginevyo



View attachment 400956



10:Irene Uwoya, huyu naye hamna kitu na hilo lilidhihirika pale aliposema hapendi kuvaa nguo za ndani kwa kuwa zina muwasha sana, kwa hali ya kawaida hata kama ni kweli zinamuwasha lakini kitendo cha kujitangaza hadharani ni kujiaibisha sana



View attachment 400962


View attachment 400964
Umeanza
 
Bro una wivu na akina dada wa Bongo. Ni dalili za ushoga hizo...
Nimekustahi kwa leo ila siku nyingine usijaribu tena kunitusi, kama ukiona nimekukera pita kimya kimya sijakuomba uchangie
 
Back
Top Bottom