Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Kuna ongezeko kubwa hasa wadada wakitafuta wenza wa kiume hapa JF! Sasa nawapa ushauri! Mara nyingi wababa tunavutiwa na vitu viwili mara ya kwanza ukimuona mdada: ni sura na umbo kama vile chura, rangi, na miguu! Haya mambo ya tabia ni baadaye saana!
Sasa unakutana na maelezo ya mdada anayetafuta mme tena unakuta wanaume wengi pia hapa JF wanatafuta lakini wanashindwa waanzie wapi maana ukiingia PM ukamuomba picha yake anakataa heti baadaye!
Sasa nyie wadada jua kwamba mwanamke kwa mwanaume ni bidhaa na sifa yake ya kwanza ni mwonekano! Sasa endeleeni kuficha sura na mwonekano wenu mtasubiri saana!