Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari JF mapenzi.

Ktk pitapita zangu niliwahi kutoka ama kurock na mwanaume wa kimasai.

Kwa kweli niliinjoi mahaba na sijawahi ona mapenzi ya aina hiyo ila kaka mwenyewe alikuwa na hasira sana hasa ukipigiwa simu na mwanaume yeye anajua huyu lazima ni mpenzi wangu.

Nilichokosea ni kuwasimulia rafiki zangu nilichokuwa nafaidi. Siku moja baada ya kusimulia, rafiki yangu X aliniambia kinachonipa raha kwa mmasai wangu ni kingozi kidogo cha chini ya uume ambacho wanaachiwa watu hawa. Mimi nilikuwa mwoga na sikuwahi kushika dudu lake ikizingatiwa alikuwa mkali.

Baada ya Maelezo hayo siku tulipokutana nikamshika na nikaona kitu kilaini chini ya uume wake, nilimbembeleza aniambie kulikoni, akaniambia eti alitahiriwa nyumbani bila ganzi na hicho kingozi kipo kwa wamasai wote wanatahiriwa nyumbani na sio hospital. Hata hivyo bado siamini kama inawezekana kutahiriwa bila ganzi.

Sasa kimbembe kilianza kwa huyu rafiki yangu X ambaye baada ya kumsimulia alianza kunizunguka naye akaanza kurock na mpenzi wangu. Kwa kweli nilipogundua hili tulipigana na mwishowe wote tulipoteza.

Nilifuta namba zote za mmasai wangu na kwa tetesi nasikia baada ya kutoka pale chuoni nasikia yupo jeshi la wananchi kule shinyanga na habari nyingine zinadai yupo kambi ya Tabora.

Je wewe uliwahi kutoka kimapenzi na Mmasai umemisi vituko gani, mambo gani? Na vipi kuhusu watu hawa ktk ndoa kwa wale mlioolewa na wamasai?

NB: Nilichogundua hawa watu pia hawaoi ugenini na ni afadhali tuligombana kwani angenipotezea muda wangu bure.
 
Tofaut ya ss raia wengine na wamasai ni kwamba masai ana mipini miwili na yote anapiga kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom