Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

Wamasai tuna gegedeo refu balaa,Kuna chaliangu alikua anatafuta dawa za kurefusha gegedeo,Akapata kwa mmasai,mmasai anamwambia jamaa uku akimwonyesha gegedeo lake kwamba akitumia dawa itakua kama yake,,
 
Ipo hivi. Tunaingia zizi la ngombe tunashika panga na kunyanyua juu ya kwamba anaekuja kukutahiri akiyumba unamtandika na panga ili aache uoga, wakati huo unakuwa utupu na ukiwa na shuka ambalo umelifunga kwa juu (kama ambavyo wanawake hujifunga wakitoka kuoga) pia sehemu ya nyuma ya shuka iliyobakia hushikwa na mtu anaesimama nyuma yako

Kitendo hichi ni cha kishujaa ni kwamba anaetahili anakuja na kisu na kijiti ambapo huingizi kijiti maalum kwenye ngozi na kutenganisha dudu na ile ngozi ili kupata urahisi na hivyo hukata ngozi pekee na kuacha kichwa cha dudu kikining'inia na kwa chini kuna kuwa kama maungio ya ngozi iliyobaki ikichuruzika damu. Ngozi hiyo ndiyo hujikusanya na kutengeneza kama kiharagwe ambacho kinakupa huo utamu.

I cant forget that day, it was a scared ever but i did it.

Proud to be the one from there.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mamlaka niliyokabidhiwa nafungua mjadala rasmi Mwezrahi
undefinedkwa kawaida sisi wa masai tunapotahiliwa huwa wanaachia ka ngozi kidogo kwa chini kwa makusudi maalumu ya kutekenya pampuchi,undefineduume unaposimama,kala ka ngozi kana go extra mile on opposite direction,kiasi cha kutaka kuufanya uume uwe na vichwa viwili,sasa ukiingiza kwenye pampuchi ilozoea kichwa kimoja,kale ka kichwa kadogo kanakuwa kanacause extra sensational feeling kwa pampunchi
 
Habari JF mapenzi.

Ktk pitapita zangu niliwahi kutoka ama kurock na mwanaume wa kimasai.

Kwa kweli niliinjoi mahaba na sijawahi ona mapenzi ya aina hiyo ila kaka mwenyewe alikuwa na hasira sana hasa ukipigiwa simu na mwanaume yeye anajua huyu lazima ni mpenzi wangu.

Nilichokosea ni kuwasimulia rafiki zangu nilichokuwa nafaidi. Siku moja baada ya kusimulia, rafiki yangu X aliniambia kinachonipa raha kwa mmasai wangu ni kingozi kidogo cha chini ya uume ambacho wanaachiwa watu hawa. Mimi nilikuwa mwoga na sikuwahi kushika dudu lake ikizingatiwa alikuwa mkali.

Baada ya Maelezo hayo siku tulipokutana nikamshika na nikaona kitu kilaini chini ya uume wake, nilimbembeleza aniambie kulikoni, akaniambia eti alitahiriwa nyumbani bila ganzi na hicho kingozi kipo kwa wamasai wote wanatahiriwa nyumbani na sio hospital. Hata hivyo bado siamini kama inawezekana kutahiriwa bila ganzi.

Sasa kimbembe kilianza kwa huyu rafiki yangu X ambaye baada ya kumsimulia alianza kunizunguka naye akaanza kurock na mpenzi wangu. Kwa kweli nilipogundua hili tulipigana na mwishowe wote tulipoteza.

Nilifuta namba zote za mmasai wangu na kwa tetesi nasikia baada ya kutoka pale chuoni nasikia yupo jeshi la wananchi kule shinyanga na habari nyingine zinadai yupo kambi ya Tabora.

Je wewe uliwahi kutoka kimapenzi na Mmasai umemisi vituko gani, mambo gani? Na vipi kuhusu watu hawa ktk ndoa kwa wale mlioolewa na wamasai?

NB: Nilichogundua hawa watu pia hawaoi ugenini na ni afadhali tuligombana kwani angenipotezea muda wangu bure.
Kutailiwa bila ganzi inawezekana, umenikumbusha yale maumivu nilivyomg'ata ngariba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
undefinedkwa kawaida sisi wa masai tunapotahiliwa huwa wanaachia ka ngozi kidogo kwa chini kwa makusudi maalumu ya kutekenya pampuchi,undefineduume unaposimama,kala ka ngozi kana go extra mile on opposite direction,kiasi cha kutaka kuufanya uume uwe na vichwa viwili,sasa ukiingiza kwenye pampuchi ilozoea kichwa kimoja,kale ka kichwa kadogo kanakuwa kanacause extra sensational feeling kwa pampunchi
Hamna, mbona kile kilikuwa hakisimami bali inabaki hivyo hivyo kama ngozi laini japo inaniongezea msisimko.
 
Back
Top Bottom