Unataka kusemajeKila starehe ina athari mbaya zaidi kwa mwanamke kuliko mwanaume. Tumeshtuka!
Naunga mkono hoja yake.Unataka kusemaje
Ndiyo hivyo Mkuu uvutaji wa sigara kwa wanawake si kitu kigeniHii ni maeneo na maeneo aisee
Hapo Moshi shisha inataradadi kwa fujo.