Hii mbona jibu lake rahisi sana. Ni kwa sababu Taarab ni muziki wa kucheza bila jasho. Yaani unajitingisha tingisha tu taratiibu mwenyewe kwa raha zako huku kidole umekiweka juu.
Wewe angalia hata hao watangazaji wa vipindi vya Taarab akina Dida na Gea. Wote vibonge vibonge tu. Vimbaumbau hata hawaendani na Taarab.
Hivi humu kuna mpenzi wa Taarab kunishinda mimi? Najua mpo ila mnaogopa tu kusema kwa sababu msije mkaonekana Waswahili. Shauri zenu bana. Nyinyi oneni noma tu wakati wengine tunafurahia bila vizingiti.
Mzee Yusuf na Amigo wako juuuuuuuuuuuu.
Mimi mbona si kibonge lakini taarabu naipenda kuliko muziki wowote kabisa

Nyani ngabi duh! Basi km ni hivyo basi taarabu ni mziki wakibaguzi. Kwa nin uwapende vibonge then uwapuuze vimbaumbau? Alafu wanawake wapenda taarabu ni kwa nin huchizika wakati wachezapo taarabu?!
habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka sasa kunauhusiano gan taki ya wanawake mabonge na muziki wa taarabu!
Hii mbona jibu lake rahisi sana. Ni kwa sababu Taarab ni muziki wa kucheza bila jasho. Yaani unajitingisha tingisha tu taratiibu mwenyewe kwa raha zako huku kidole umekiweka juu.
Wewe angalia hata hao watangazaji wa vipindi vya Taarab akina Dida na Gea. Wote vibonge vibonge tu. Vimbaumbau hata hawaendani na Taarab.
Hivi humu kuna mpenzi wa Taarab kunishinda mimi? Najua mpo ila mnaogopa tu kusema kwa sababu msije mkaonekana Waswahili. Shauri zenu bana. Nyinyi oneni noma tu wakati wengine tunafurahia bila vizingiti.
Mzee Yusuf na Amigo wako juuuuuuuuuuuu.
Na wembamba pia wapo tena hawa ndo mahodari kweli wakurusha roho za wenzao
Oh nilijua kama atakuwepo mtu basi itakuwa ni wewe Dena Amsi.
Umesikia lakini vigongo vipya vya mamaa Isha Mashauzi aka jike la Simba linalong'ata aang'h aang'h?
Mimi mbona si kibonge lakini taarabu naipenda kuliko muziki wowote kabisa
sijisikii amani napocheza taarab