Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka sasa kunauhusiano gan taki ya wanawake mabonge na muziki wa taarabu!
 
Hii mbona jibu lake rahisi sana. Ni kwa sababu Taarab ni muziki wa kucheza bila jasho. Yaani unajitingisha tingisha tu taratiibu mwenyewe kwa raha zako huku kidole umekiweka juu.

Wewe angalia hata hao watangazaji wa vipindi vya Taarab akina Dida na Gea. Wote vibonge vibonge tu. Vimbaumbau hata hawaendani na Taarab.

Hivi humu kuna mpenzi wa Taarab kunishinda mimi? Najua mpo ila mnaogopa tu kusema kwa sababu msije mkaonekana Waswahili. Shauri zenu bana. Nyinyi oneni noma tu wakati wengine tunafurahia bila vizingiti.

Mzee Yusuf na Amigo wako juuuuuuuuuuuu.
 
Haya suuzika na roho yako.

YouTube - ‪Shakila and Rajab Suleiman Qanun Trio - Tanzania taarab‬‏
 
Mimi mbona si kibonge lakini taarabu naipenda kuliko muziki wowote kabisa

Oh nilijua kama atakuwepo mtu basi itakuwa ni wewe Dena Amsi.

Umesikia lakini vigongo vipya vya mamaa Isha Mashauzi aka jike la Simba linalong'ata aang'h aang'h?
 
Nyani ngabi duh! Basi km ni hivyo basi taarabu ni mziki wakibaguzi. Kwa nin uwapende vibonge then uwapuuze vimbaumbau? Alafu wanawake wapenda taarabu ni kwa nin huchizika wakati wachezapo taarabu?!
 
Hivi wewe unapenda Taarab?
 
Mimi siwezi sema napenda au sipendi, inapotokea wimbo unapigwa huwa nasikiliza bt hushangaa zaidi pale nionapo watu wanachizika kwa nyimbo ambazo kwangu nazichukulia kama nyimbo zisizo na ujumbe wowote, cha kushangaza zaidi, wengi ya wapenzi wa hzi taarabu ni vibonge, kwa kweli najiweka pembeni kwa hili. Hvi LOGIC YA KUNYANYUA VIDOLE JUU WAKATI UNACHEZA TAARABU NI IPI?
 
taarabu kwa kweli haipo sawa ktk ujumbe, wajirekebishe!
 
Na wembamba pia wapo tena hawa ndo mahodari kweli wakurusha roho za wenzao

habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka sasa kunauhusiano gan taki ya wanawake mabonge na muziki wa taarabu!
 
Hii mbona jibu lake rahisi sana. Ni kwa sababu Taarab ni muziki wa kucheza bila jasho. Yaani unajitingisha tingisha tu taratiibu mwenyewe kwa raha zako huku kidole umekiweka juu.

Wewe angalia hata hao watangazaji wa vipindi vya Taarab akina Dida na Gea. Wote vibonge vibonge tu. Vimbaumbau hata hawaendani na Taarab.

Hivi humu kuna mpenzi wa Taarab kunishinda mimi? Najua mpo ila mnaogopa tu kusema kwa sababu msije mkaonekana Waswahili. Shauri zenu bana. Nyinyi oneni noma tu wakati wengine tunafurahia bila vizingiti.

Mzee Yusuf na Amigo wako juuuuuuuuuuuu.

hapo tupo wengi mtu mzima,
ratiba zote za jahazi na East African Melody zipo hapa!!!!!!!
 
Na wembamba pia wapo tena hawa ndo mahodari kweli wakurusha roho za wenzao

Afadhali Yakuonea umemsaidia huyu kijana,
wembamba wapo sana tu, tena sasa kwa kuzungusha kiuno,
hawa ndo wamejaaliwa!!!!!
 
Oh nilijua kama atakuwepo mtu basi itakuwa ni wewe Dena Amsi.

Umesikia lakini vigongo vipya vya mamaa Isha Mashauzi aka jike la Simba linalong'ata aang'h aang'h?

Aisee huyu Isha ni mashauzi kweli,
kweli kama ni kujishaua hapa ndo mwake!

Ngabu, mzee wa aramb aramba nae pia amekuja na vipya ati!!!!mfalme wa mapenzi!
 
Mimi mbona si kibonge lakini taarabu naipenda kuliko muziki wowote kabisa

We si wa kinondoni bwaana lazima taarabu uipende tu,tandale magomeno kinondoni na uswahilini kote lazima muipende taarabu majungu ndo mila zenu...nenda sinza au masaki uone kama kuna mtu anahangaika nayo
 
Najua yote hayo, kwetu manzese wapenzi wa taarabu wapo wengi, kiasi tushachukulia km wimbo wa taifa aisee.. Bt Vibonge wamedominate, so twashindwa elewa km taarabu ni kwa vibonge au laah! Mmh! Wapenda taarabu wana figa za uchokozi kweli, Umbo km Avata ya Cheusi mangala!
 
Ndio aina ya muziki wanaoweza kuumudu kulingana na ubonge wao kwa kuwa unachezwa taratibu.
 
Mnazungumzia Twaarab culture (Dumbak) au hii minanda ya kina Mashauzi na alamba alamba? maana Dumbak ni noumer bwana acha tu, unakula mashairi ya Mzee Juma Bhalo wabaki wasinzia tu, au unapata shairi la Khadija wa Comoro ........................................
 
Back
Top Bottom