Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Wanawake wa tanga kwa taarab na taarabu duh! Mashalaah Mungu kawajalia!
 
Oh nilijua kama atakuwepo mtu basi itakuwa ni wewe Dena Amsi.

Umesikia lakini vigongo vipya vya mamaa Isha Mashauzi aka jike la Simba linalong'ata aang'h aang'h?


ahh nampenda sana uyu dada....!
ahh umeiskia mali mpya ya adija kopa?
......usichezee moto utakuunguzaaaaaaaaaa.....:dance:!!!!!!!!
 
Nyani ngabi duh! Basi km ni hivyo basi taarabu ni mziki wakibaguzi. Kwa nin uwapende vibonge then uwapuuze vimbaumbau? Alafu wanawake wapenda taarabu ni kwa nin huchizika wakati wachezapo taarabu?!

Wanachizika kwa sababu wanapokata viuno mawazo yao yanakuwa kitandani.
 
Kitu Mpya ya Hadija kopa teh! USICHEZEE MOTO UTAKUUNGUZA!
 
Ninatembea...tembea mpaka Tabata utamu unakuja halafu unakataaaa.... 5starz Modern Taarab...
 
Tena unakuta JIMAMA KILO ZA MAMBA lakini linaserebuka km joti vile.

Lakini wana sifa ya KUGONGWA PIA:A S-rose::mimba:
 
Mpasuajipu kweli we ni noma, so huwa WANAGONGWA kwa Mbele au kwa Nyuma?
 
Nilivyoona "taarabu"nilifikiri something else!
 
mkuu kuna tofauti hapo TAARAB na TAARABU NI VITU VIWILI TOFAUTI BT VINAENDANA SANA! Wanawake mabonge wamebahatika kupata vyote!
 
wembamba wanavamia fani za watu, wao muziki wao SEGERE!
 
Ila siunaamini taarab ni taratib? So mwili mnene unatingishwa tu taratibu, kwa maadahha. (ila mambo ya mwanawake wanene tuwaachie wanawake wanene)
 
Hata wanaume wembambaa sana wanapenda taarab, na mashoga wengi wanaopatikana pwani ya Africa Mashariki wanapenda saana taarab. Na taarab imechangia ushoga.
 
ktk taarabu wanaume wembamba huvamia kuwakumbatia wanawake mabonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…