Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kwanini wanicheke?ha .........wewe Abdulhalim mwanaume hupaswi kutamka haya maneno mbele ya watu,
watakucheka wenzio!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wanicheke?ha .........wewe Abdulhalim mwanaume hupaswi kutamka haya maneno mbele ya watu,
watakucheka wenzio!!!!!!!!!!!!!!!!
Oh nilijua kama atakuwepo mtu basi itakuwa ni wewe Dena Amsi.
Umesikia lakini vigongo vipya vya mamaa Isha Mashauzi aka jike la Simba linalong'ata aang'h aang'h?
Nyani ngabi duh! Basi km ni hivyo basi taarabu ni mziki wakibaguzi. Kwa nin uwapende vibonge then uwapuuze vimbaumbau? Alafu wanawake wapenda taarabu ni kwa nin huchizika wakati wachezapo taarabu?!
piga bastola ...........