hapo tupo wengi mtu mzima,
ratiba zote za jahazi na East African Melody zipo hapa!!!!!!!
Yanavyotetemeka bwana, navuta picha km namtokea kwa nyuma!
i hate taarab yani nikiisikia i feel like to die,hivi nani mwingine anachukia taarab kama mimi?
Kuna mtu ameniambia eti siku hizi taarab inachezwa hata katika harusi za kichaga hivi ni kweli? Halafu najua kuwa Mama yake Isha Mashauzi, Rukia ni mtu wa Musoma naye anaimba taarab hebu nipeni ufafanuzi wa kutosha.Hivi wewe unapenda Taarab?
habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka sasa kunauhusiano gan taki ya wanawake mabonge na muziki wa taarabu!