Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

hapo tupo wengi mtu mzima,
ratiba zote za jahazi na East African Melody zipo hapa!!!!!!!

tena tupo wengi sanaaa2 na hakuna mziki mtamu na usiokera kama taarab
miziki mingine ni makelele2
 
i hate taarab yani nikiisikia i feel like to die,hivi nani mwingine anachukia taarab kama mimi?
 
Hivi wewe unapenda Taarab?
Kuna mtu ameniambia eti siku hizi taarab inachezwa hata katika harusi za kichaga hivi ni kweli? Halafu najua kuwa Mama yake Isha Mashauzi, Rukia ni mtu wa Musoma naye anaimba taarab hebu nipeni ufafanuzi wa kutosha.
 
habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka sasa kunauhusiano gan taki ya wanawake mabonge na muziki wa taarabu!

Umenichekesha kuna dada huyo ananenepa sasa mumewe hapendi mke anavyonenepa,basi neno la yule mwanaume utasikia
"Unanenepa utakua kama lishangingi tukupeleke kwenye taarabu ukakutane na wenzako"
 
Itazame hii wanalazimika kuwa maana hata nyimbo zao zinahusu kunyang'anywa mme mara kuachwa c hawavwez kama 2leee sliiim.... 2nayakata..
 
Back
Top Bottom