Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Dumbak inakuwaje hiyo? Unataka twambia Alamba haitambi mbele ya dumbak?
 
habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka sasa kunauhusiano gan taki ya wanawake mabonge na muziki wa taarabu!

Kucheza taarab hakuhitaji kutumia nguvu nyingi wao wanatumia unene wao kuzungusha kiuno wanakinyonga kikanyongeka taratiiibu huwa wananiacha hoi pale wanapo cheza na kuangalia nyuma je wowowo linatikisika.
 
mmh! Asha D hvyo vidole na minjino umechakachua!
 
mkuu fidel80 umeniacha hoi, kwamba WANAPOCHEZA HUJIANGALIA NYUMA KUCHEKI KM WOWOWO LINATIKISIKA? Duh!
 
Taarabu ni musiki wa Pwani, na kwa watu wa Pwani, kuwa na wowote au yale MANYAMA uzembe ni deal! Thus, 1+1=3!!!
 
Kucheza taarab hakuhitaji kutumia nguvu nyingi wao wanatumia unene wao kuzungusha kiuno wanakinyonga kikanyongeka taratiiibu huwa wananiacha hoi pale wanapo cheza na kuangalia nyuma je wowowo linatikisika.

Ewaaaaa........raha ya taarabu ndo inaanzia hapo chacha.........................
 
Ewaaaaa........raha ya taarabu ndo inaanzia hapo chacha.........................

Hahahaha ukienda zenji wanawake wengi wa kule wamejaa kifua ila makalio hawana kama ya wachina wakiwa wanacheza tarabu mbona aibu
 
mkuu fidel80 umeniacha hoi, kwamba WANAPOCHEZA HUJIANGALIA NYUMA KUCHEKI KM WOWOWO LINATIKISIKA? Duh!

Hahaha yeah we angalia anapo cheza lazima ageuke aangalia kalio linatikisika?? wao wanaita taarabu imo? taarabu imo ndo wowowo
 
so zenji taarabu yao sio tamu km ya tanga, mombasa, tandale, manzese etc? Tandale na manzese wachezaji wake huwa hawavai chuupiiii kabisa aisee. Ktk kucheza kucheki tumsitu twao ni kawaida sana! Halafu sijui wanacheza taarabu gani ile? Coz ina mixer ya baikoko fulan hv!
 
ngoja ninenepe nkacheze taarab kama hiko ndo kigezo
 
Kucheza taarab hakuhitaji kutumia nguvu nyingi wao wanatumia unene wao kuzungusha kiuno wanakinyonga kikanyongeka taratiiibu huwa wananiacha hoi pale wanapo cheza na kuangalia nyuma je wowowo linatikisika.

Ni tathmini ya kazi unayofanya.
 
Hii mbona jibu lake rahisi sana. Ni kwa sababu Taarab ni muziki wa kucheza bila jasho. Yaani unajitingisha tingisha tu taratiibu mwenyewe kwa raha zako huku kidole umekiweka juu.

Wewe angalia hata hao watangazaji wa vipindi vya Taarab akina Dida na Gea. Wote vibonge vibonge tu. Vimbaumbau hata hawaendani na Taarab.

Hivi humu kuna mpenzi wa Taarab kunishinda mimi? Najua mpo ila mnaogopa tu kusema kwa sababu msije mkaonekana Waswahili. Shauri zenu bana. Nyinyi oneni noma tu wakati wengine tunafurahia bila vizingiti.

Mzee Yusuf na Amigo wako juuuuuuuuuuuu.

Wewe unajua taarab au taarabu?

Tafadhali tofautisha hizo mbili
 
taarab si ndio nyenzo/kitendea kazi chenyewe (wowowo)? Then taarabu ndio muziki wenyewe sasa. Ahaa haa haa kuna tofauti mkuu!
 
Duu hii taarab kiboko taarab asili haina mikimiki na huchezwa kwa utulivu mno, huwa inachezwa watu wakiwa wameketi, tena unakuta wanaume wapo safu ya mbele na wanawake ya nyuma, hakuna kubinua nyonga, wala makalio/ vikalio mfano mzuri wa taarab hizi ni culture, malindi taarab-zanzibar, black star musical taarab -Tanga, wakati ule wako na mama shakila, hizi za sasa taarab si taarab maana humo humo kuna sebene, nyonga kwenda mbele

so zenji taarabu yao sio tamu km ya tanga, mombasa, tandale, manzese etc? Tandale na manzese wachezaji wake huwa hawavai chuupiiii kabisa aisee. Ktk kucheza kucheki tumsitu twao ni kawaida sana! Halafu sijui wanacheza taarabu gani ile? Coz ina mixer ya baikoko fulan hv!
 
siku hzi taarabu umekua mziki wa fujo, ndio maana vimbaumbau na wenzao wenye vikalio vidogo wanajumuika bt originaly mabonge ndio haswa wanastahili kudominate huu muziki. Bibi kidude cjui enzi zake nae alikua bonge? Iweje alimudu kuimba na kucheza taarabu?
 
Back
Top Bottom