Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwa makabila haya yafuatayo mimi sina maoni - Wahaya, Wanyiramba, Wapare, Warangi, Wambulu, Wanyaturu
wambulu/wairaq wanavyojiita
Wote mmechemsha. Vicheche nambari wanu ni kabila linaloitwa WANYIRAMBA. Aisee, hao ni balaaa. Ni kama wana pepo la ngono linalowawasha kila wakimwona mtu amevaa suruali.
Naelewa ukicheche (kiruka njia) wanawake wao wanasifiwa kwa ukicheche (loose balls).
Binafsi nimesikia mara nyingi kuwa makabila mengi ya mkoa wa Arusha yana mabinti walio tulia sana kama vile Wameru na Waarusha. Swali ni je ni makabila gani mengine ambayo wanawake wanasifiwa (majority)?
Kaldinali kwa hapo kwenye red umechemsha, au nikuhakikishie popote utakapoenda ukiitaka hiyo huduma utaipata kwani umesema wanawake Hapa JF ilikuwepo thread ya kupata huduma hizi katika Miji yote na watu walichangia, Sasa kwa Arusha ukitaka wameru na Waarusha fika Makao Mapya zipo Guesti kibao wewe ulizia barmaid yoyote akuonyeshe Muarusha au MMeru utahudumiwa.
Labda ungeanza na kutafuta bint/Msichana wa kuoa ni wapi waliotulia yaani hata ile kuwa na aibu, ya kutoa mchezo (looser ball) kweli wanaweza kuwemo katika 10 bora wanweza kuwemo hao uliowataja yaani wakajificha na kukulindia heshima. Lakini wakiwa ni wafanyakazi au wasomi wanaotumia F/B usishangae nae akakuijia na Gari Nadia akakuambia amekopeshwa na Boss
Wachaga.
Hawa wako busy na michongo yao tu,hawana muda na wanaume.