Wanawake Makabila Gani Sio Vicheche


huogopi ban...mzeiyaaaa
 
ulimuoa au ulimwacha?? Tupe nyepesi


Mimi na yeye tumekuwa tunaishi nchi tofauti kwa zaidi ya miaka 10 sasa kwaajili hiyo uhusiano wetu ulikufa kifo cha kawaida (natural death). However, naamini siku tutakapokutana cheche za moto zitatoka kama matairi ya ndege yanapo touch the ground! LOL
 
Hakuna makabila yenye unafuu maana siku hizi dunia ishakuwa na utandawazi kote, achana na historia wewe muombe Mungu akupe mke mwema na wewe ukawe mume mwema


Genius Advise!
 

Duuuh. Mkuu umeongea mambo ya kisayansi kweli kweli nashukuru kwa uchambuzi yakinifu. Very educational.
 
Duuuuuuhhhhhhhhhhh
 
Duuuuuuhhhhhhhhhhh

nisamehe bure, watu wengine wanachambua wanawake maka vile hawaishi nao

ukitaka kumuumiza mwanaume, mwambie apate "visuals" za mama yake.... and i wanted him to feel that way because its no right
 
Janja hujamtendea haki kabisa huyu jamaa na response yako. Ndivyo tulivyo.
 
nisamehe bure, watu wengine wanachambua wanawake maka vile hawaishi nao

ukitaka kumuumiza mwanaume, mwambie apate "visuals" za mama yake.... and i wanted him to feel that way because its no right

dahhhh kwa ulicho andika hapo awali mmhhh umenifungisha mdomo kwa kweli ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…