Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua umetembea na wanaume km 50 hivi?
Hivi mwanamke anaejiuza na ni 1st class hooker aka anatembea na watu wakubwa tu na kulipwa pesa kwa $ na kufanya maendeleo na yule ambae kila wk ana boyfriend mpya, kila wanaume wakimmega wanamtelekeza yupi bora?
Nataka nijue mwanamke malaya ana vigezo gani?
Golden Mpoleee.
Umesema tumekua malaya bila kujijua..
HALAFU
unataka vigezo vya mwanamke malaya
kama ulishakua malaya naamini jibu unalijua.
Unajuaje wanawake wengi mmekua hivyo kama vigezo vinavyowafanya muwe/muitwe hivyo huvijui?
Neno umalaya lina maana nyingi,kuna wale wanaofanya mapenzi kwa ajili ya kujipatia kipato na kuna wale ambao yeye si kwa ajili ya pesa bali anapenda kubadili wanaume kila mara hawa nijuavyo mimi ndio huitwa malaya..
Ila kwa sisi wanaume ukiwa hivyo mara nyingi huitwi malaya bali ni mhuni,sharp,kiwembe nk,usiniulize kwanini.
simpo nimeuliza vgezo toa. Kama wakubal vyang mm na ww ni malaya.
first,let me give my impression when i saw this,.yuuuck!..2ndly,it seems tayari unajua vigezo vya mtu kuitwa hivyo..3rdly,usigeneralize,kuna walioanza mapema na wametulia tu,na kuna waliochelewa ila walivyoanza,fungulia mbwa.,nina evidence nyingi,eg.vyuoni!..and sa hivi nahisi kuchoka,wanawake wanawake wanawake!..dah!
mwenzangu tutoke huku wengine tuna bikra zetuhuku niliko ingia leo!!!!sijui kama nitatoka kama nilivyo ingia!!!acheni kuchafua hali ya hewa jamani!!!
hivo unakubali mm na ww ni malaya?
Yes tusiposema wanawakeeeee tuseme nini?
Pundaaa au pig? Yes wanawake wapo wengi Malaya
unknowingly anajiuzaa au kuliwa hovyo
Yes tutasema wanawake hadi kufa...
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua umetembea na wanaume km 50 hivi?
Hivi mwanamke anaejiuza na ni 1st class hooker aka anatembea na watu wakubwa tu na kulipwa pesa kwa $ na kufanya maendeleo na yule ambae kila wk ana boyfriend mpya, kila wanaume wakimmega wanamtelekeza yupi bora?
Nataka nijue mwanamke malaya ana vigezo gani?
Golden Mpoleee.
mwenzangu tutoke huku wengine tuna bikra zetu
Bikra ipi bado unayo
:focus::focus::focus::focus::hatari::hatari::hatari: