Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote wanaozini ni malaya awe mwanamke au mwanaume
wanawake malaya?
Umalaya wao unatokana haka kajitu kaitwako utandawazi, na ushamba hakuna kingine
hiv kuzin ndio kufanya bila condom.
unaingia lig hujajianda?
sema tu watu wapenda waonekane watakatf! Hapa wengne walianza hata 13
huku niliko ingia leo!!!!sijui kama nitatoka kama nilivyo ingia!!!acheni kuchafua hali ya hewa jamani!!!
Kuzini ni vile ulivyofanya wewe na wale wanaume wako wanne ili kuziba pengo la marehemu kaka yako.
Rejea thread yako au kwenye post ya Edson
Wanawake malaya wa siku hizi wamekuwa kama mbwa malaya maana mbwa malaya anaweza kufanya uzinifu mbele ya kadamnasi. Wanawake siku hizi hawana simile wameingiwa na pepo la ngono wanagawa k za kutosha wanasema eti zisije zikaliwa na nyenyere. wanawake malaya wamewafanya wanawake wote sasa hivi waonekane malaya. Naombeni msinipige mawe
usjfanye mtakatif. Ww umelala na wangap toka ulianza?
Wote hao ni malaya tu!
kweli mpolee ulianza uchakachuzi wa k yako mapema
mimi nimeanza juzijuzi tu
ila kuna msemo niliusikia mahali eti mwanamke hadi kufikia kuolewa/kupata maendeleo lazima apitie uma...........ya
Huo umalaya mbele ya kadamnasi anaufanyaje pekeake?
Kama anafanya na mtu huyo nae tunamwitaje?
Suala la umalaya huwezi kumuhukumu mtu mmoja ukamwacha mwingine.
Au mnapenda tu kusema wanawake?
Muwe mnatafakari kabla ya kusema.
Wanaume waache tamaa,
wanawake waache tamaa na
TUHESHIMIANE.
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua umetembea na wanaume km 50 hivi?
Hivi mwanamke anaejiuza na ni 1st class hooker aka anatembea na watu wakubwa tu na kulipwa pesa kwa $ na kufanya maendeleo na yule ambae kila wk ana boyfriend mpya, kila wanaume wakimmega wanamtelekeza yupi bora?
Nataka nijue mwanamke malaya ana vigezo gani?
Golden Mpoleee.
mpolee inaelekea hii dhambi ya zinaa unayoifanya inakutesa sasa unataka kuangalia kama na wasichana wenzio wanafanya? ili upunguze machungu uone ni jambo la kawaida kumbe na wengine wanafanya piausjfanye mtakatif. Ww umelala na wangap toka ulianza?