Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua umetembea na wanaume km 50 hivi?
Hivi mwanamke anaejiuza na ni 1st class hooker aka anatembea na watu wakubwa tu na kulipwa pesa kwa $ na kufanya maendeleo na yule ambae kila wk ana boyfriend mpya, kila wanaume wakimmega wanamtelekeza yupi bora?
Nataka nijue mwanamke malaya ana vigezo gani?
Golden Mpoleee.
Awali ya yote napenda ujue tafsiri ya neno "malaya" au "uzinzi"
Ki-biblia, neno "Uzinzi" lina maana ......
KUTAMANI MTU ASIYE MUME/MKE WAKO.
Mathayo 5:27-28 inasema "Mmesikia kwamba imenenwa, usizini; lakini mimi nawaambia, kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake".
Kwa sisi waislam ambao ni minority humu jf nadhani tunafahamu nini Quraan inazungumzia kuhusu uzinzi/zinaa.
......... Na mmehalalishiwa (kuoa wanawake) mighairi ya hawa.
Muwatafute kwa mali zenu, kwa kuwaoa bila ya kufanya
zinaa
....... (4:24).
"Wala
msiikurubie zinaa hakika hiyo ni uchafu na njia mbaya kabisa". Qur. 17:32.
Na (mmehalalishiwa kuwaoa) wanawake wema wa Kiislamu na
wanawake wema katika wale waliopewa kitabu kabla yenu. (Ni
halali kuwaoa) mtakapowapa mahari yao mkafanya nao ndoa bila
ya kufanya uzinzi wala kuwaweka vimada
. (5:5)
Sasa mleta mada utachambua mwenyewe hivyo vifungu na hoja zao kisha utueleze wewe unaona huo umalaya ni au mtu malaya ni yupi ilhal kwenye maelezo yako yamejitosheleza.