Wanawake malaya


Siku ile utakuwa ulipiga makele wakati wanaivunja raha iliyoje kuvunja bikra
 
kwa mtizamo wangu,

mwanamke malaya ni mwanamke yeyote yule ambaye anafanya yafuatayo-
1. anaishi na boyfriend;
2. ana mwanaume/wanaume nje ya ndoa yake alioyoifunga kimila/kiserikali/kidini
3.anauza mwili wake kwa wanaume
 
wanawake wengi kukubali kufanya uasherati na wanaume kabla ya kuolewa pia imesababisha umalaya na kuwakosesha kuolewa

ndoa zimekuwa adimu kwasababu
-mahusiano ya boyfriend/girlfriend, kama mtu anapata anachotaka na kwa wakati anaotaka kwanini hanagaike kukuoa;
-fikiria mtu hajakuoa, anakuita ukalale kwake/ukamfulie nguo au ukampikie, je unadhani atakuoa mapema, ndio maana wengine wamekaa katika uasherati zaidi ya miaka 7 akidai bado anampima, anakupima nini, kwani ww ni kisima cha maji/maji

wanawake amkeni acheni ulimbukeni
 
Sasa hivi vigezo vyenye sura mbili ni vigumu sana. Kwa mwanamke anapaswa kujitunza, mwanaume anatakiwa kujifunza. Sasa anajifunzia wapi? Mwanamke anaweza kuhimili, mwanaume hawezi hata kukaa hata.... Umalaya na Uhuni ni mkanganyiko wa fikra zinazojegwa na jamii husika. Ila kisisitiza wanawake ndio malaya, yawezekana ni mawazo mgando, yanayoshidwa kupembua vigezo kandamizi dhidi ya jinsia mbili tofauti. Pili, tafsiri ya ngono inajipa maana kati ya mtendaji na jamii yake - haswa mwili unapotumika kupata faida ama kipato kutumia mwili na akili ikiwa na utambuzi wa nguvu ya mwili wa mwanamke na hivyo kuutumia kwa malengo. Umalaya sio bure, ama sivyo ungeitwa mteremko ama bonde - kicheche na mengine. Sasa, jitafsiri kwanza wewe halafu utaelewa nini maana ya umalaya.
 
wanawake wengi kukubali kufanya uasherati na wanaume kabla ya kuolewa pia imesababisha umalaya na kuwakosesha kuolewa

ndoa zimekuwa adimu kwasababu
-mahusiano ya boyfriend/girlfriend, kama mtu anapata anachotaka na kwa wakati anaotaka kwanini ahangaike kukuoa;
-fikiria mtu hajakuoa, anakuita ukalale kwake/ukamfulie nguo au ukampikie na wewe unaenda kufanya haya, je unadhani atakuoa mapema, ndio maana wengine wamekaa katika uasherati zaidi ya miaka 7 akidai bado anampima, anakupima nini, kwani ww ni kisima cha maji/maji

wanawake amkeni acheni ulimbukeni
 
😛layball:😛layball:😛layball:😛layball:😛layball:
Kama umetembea na mmoja tu mpaka sasa hatuwezi kukuweka kwenye hilo kundi..your almost pure..tena kwa sababu hukurudia tena..
 
Nitatoa hoja bonafsi iende Bungeni UMALAYA IWE KAZI HALALI YA KUJIPATIA KIPATO NA WALIPE KODI,
Germany na nchi kadhaa Europe ufuska is legalized, na kiwango cha tax inategemeana na hali ya kahaba sasa akiwa anajouza rasmi haitwi kahaba anaitwa MHUDUMU WA PRIVATE, kupunguza ukali wa lugha
So hii biashara kubwa sana we can legalize it.... Tena Bi Kidude ni speaker ataipitisha haraka maana yy hana mume ili kuwakomoa WANAWAKE WANAO ENJOY dudu...
 
3.anauza mwili wake kwa wanaume
hapa huwa kunanifanya nishndwe kuwaelewa wanawake wana roho za namna gani especialy wale wanaojiuza kwa usiku anaudumia zaid ya mwanaume 1.samtym wanawake niwabaya zaid ya shetani ndio maana walielewana lugha na nyoka pale eden..mwanamke ata akiwa tajiri akikutana na mwenye pesa akimpa ofa LAZIMA achapwe ata kama ni WAZIRI.shit awaviumbe wanakera sana.
 

Wewe nawe. . .
Ina maana hujui kwamba hata wanaume wapo wanaojiuza? Kereka nao pia!!
 
Lol! Huyu mpwa huyu anawezana na AshaDii tu, kha!
GP, sio wanawake wote tuna historia kama yako. Kubali ama ukatae, urs is a unique story na pengine unahitaji ushauri nasaha usije ukawaambia akili hiyo wanao manake dhambi inarithiwa ceteris paribus...
 



c wanafanya na wanaume so wote mbwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…