Wanawake: Mambo yanayopelekea mwanaume apoteze kujiamini, na kuamua kuvunja mahusiano

Acha kabisa, utaharibu kabisa.
Hamna wanaume wasiojiamini Kama wanaume wafupi.

Ata akiwa anafoka au anakulalamikia kwa sana,

Afu
usimjibu,ile uwe unamtizama kwa chini Uko zako kimya.

Yeye anaona Kama Unamwangalia kwa dharau na kiburi.
 
Mkuu umeongea uhalisia,unaijua vizuri saikolojia yetu kwenye mahusiano.
 
Acha kabisa, utaharibu kabisa.
Hamna wanaume wasiojiamini Kama wanaume wafupi.

Ata akiwa anafoka au anakulalamikia kwa sana,

Afu
usimjibu,ile uwe unamtizama kwa chini Uko zako kimya.

Yeye anaona Kama Unamwangalia kwa dharau na kiburi.
😀😀 jamani ntajirekebisha kwakweli kwenye hilo maana nahofia akiwa anafoka naweza nikaanza kucheka😀 akanidunda buree
 
Andiko zuri.
 
Yani hii umenisema mimi kabisa na inshort yote hayo nmekutana nayo A to Z mpka tumeachana lkn ameniachia kutokujiamini kabisa yan kiwango cha kujiamni kimeshuka mno naona kama sina kitu yan hasa kitandan ila mm nlkuwa naona na perfom vzur lkn yeye hakuridhika na ndo mpka tumeachana ila mm nko kwenye wakati mgumu toka tuachane sina mwanamke tena naishi tu kiupweke yan dah wanawake acheni iyo tabia
 
Kuna mwanamke nilimuacha kwa sababu ya marafiki wengi wa kiume

Sababu yake ni hiyo hiyo Eti wanawake wenzake ni wambea na yeye hapendi umbea
Yan huo ndo mwavuli wao wa umalaya
 
Sasa mkuu acha kukumbatia hayo mawazo ya sumu aliyokujengea. Ni muda wa kubadili fikra zako juu ya hilo
 
Sasa mkuu acha kukumbatia hayo mawazo ya sumu aliyokujengea. Ni muda wa kubadili fikra zako juu ya hilo
Ofcourse lkn naamini mpka mwaka uishe ndy nianze mahusiano mapya na kikubwa ni kwamba nmetembea na wanawake wengi ambao sijawatongoza bali wamekuja tu wenyewe lkn sasa hata wanaonitaka nakosa kujiamni kuwa nao yani ni shida mzee baba.
 
Hahahaha.

Wanawake wanapenda sana hii tabia ya kufanananisha wanaume zao na wanaume wengine au maex

LAKINI MAAJABU NI KUWA WAO WAKIFANANISHWA TU MWANAMKE MWINGINE Japo mara moja.. mnuno wao unakuwa siyo wa nchi hii
 
Mkuu weka na Halopesa yako nikupe sina kitu kikubwa lakini japo hata vocha ya buku. Asante sana.

Hii MMU ina watu wenye msaada mkubwa sana. Hii fursa tuitumie.
 
Salute kwako Mkuu Great Pond. Umezama haswa kwenye mada. Uandishi wako umenivutia mno.
 
Mimi Kuna mmoja alaniambiaga Kaka ake anamjali Sana Mkewe anamfulia,anampikia n.k nkamjibu nkamuambia hujachelewa tafuta mwanaume anaefanana nse
 
Kuna mwanamke nilimuacha kwa sababu ya marafiki wengi wa kiume

Sababu yake ni hiyo hiyo Eti wanawake wenzake ni wambea na yeye hapendi umbea
Dawa yake na wewe unakuwa na marafiki wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…